Nijuze Habari App

Mwamuzi Simba vs Yanga huyu hapa

Filed in Michezo by on 06/12/2021 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC mwamuzi, Herry Sasii amepewa jukumu la kusimama kati kuamua mchezo huo maarufu kama Kariakoo Derby.

Katika orodha ya maafisa watakaosimamia mchezo huo iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania Sasii kutoka Da es Salaam Sasii atasaidiwa na Kassim Mpanga na Hamdani Said wote kutoka Dar es Salaam huku mwamuzi wa akiba akiwa Ahmada Simba kutoka Kagera.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Mchezo huo wa DarDeby unatarajiwa kuchezwa Jumamosi hii ya December 11,2021 saa 11 jioni, ambapo mtathimini wa waamuzi atakuwa Soud Abdi kutoka Arusha wakati mechi kamishna akiwa Hosea Lugano wa Lindi.

Ofisa itifaki jukumu amepewa Jacqueline Kamwamu wa Dar es Salaam huku Hashim Abdallah akipewa majukumu ya ulinzi.

Ofisa Masoko wa mchezo huo yatakuwa chini ya Fredrick Masolwa huku Afisa Habari akiwa Clifford Mario Ndimbo wote wa Dar es Salaam.

Dawati la matibabu litaongozwa na Dk Norman Sabuni, huku msimamizi wa kati wa kituo akiwa Msanifu Kondo wote wa Dar es salaam.

Baraka Kizuguto atakuwa Mratibu mkuu wa mchezo akipewa wasaidizi wawili ambao ni Jonathan Kassano na Herieth Gilla wote wakitoka Dar es Salaam.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *