Nijuze Habari App

NABI atataka watatu dirisha dogo la Usajili 2022/2023

Filed in Michezo, Usajili by on 15/12/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NABI atataka watatu dirisha dogo la Usajili 2022/2023

NABI atataka watatu dirisha dogo la Usajili 2022/2023, Usajili Yanga, tetesi za Usajili Yanga SC, Tetesi za Usajili Young Africans, Usajili Young Africans, Tetesi za Usajili Yanga, tetesi za Usajili, Usajili Yanga, Nabi ataka watatu Yanga, Nabi ataka Usajili wa watatu tu Yanga, Nabi apendekeza watatu Yanga, Nabi ataka wasajiliwe watatu hawa Yanga.

NABI atataka watatu dirisha dogo la Usajili 2022/2023

NABI atataka watatu dirisha dogo la Usajili 2022/2023

Klabu ya Young Africans imetangaza kuwa haifanya Usajili Mkubwa katika dirisha hili dogo la usajili 2022/2023

Hilo limethibitishwa na Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Nasreddine Nabi ambaye amesema kuwa kikosi chake kiko imara, maboresho yatafanyika kwenye nafasi chache zenye mapungufu tu.

Nabi amependekeza usajili wa wachezaji watatu katika nafasi za beki wa kati, Mshambuliaji mmoja na kiungo Mkabaji.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

“Hatuitaji kufanya usajili wa wachezaji wengi sababu bado tuna timu nzuri ya ushindani hao wachezaji watatu ambao tumepanga kuwaongeza kwenye dirisha dogo ni kwa ajili ya kuziba sehemu zilizoonesha mapungufu kwenye mechi za mtoano na ligi, Nabi amenukuliwa na SpotiLeo.

Klabu hiyo imedhamiria kutetea taji la Ligi Kuu, FA na kuvuka hatua ya Makundi Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika ikiwa imepangwa kundi D na Mabingwa wa Kiistoria wa CAF Klabu TP Mazembe na US Monastir ya Tunisia na Real Bamako ya Mali.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *