LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

NABI tuko tayari, awagusia Feisal na Doumbia, wawili kuikosa TP Mazembe

Filed in Michezo by on 18/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

NABI tuko tayari, awagusia Feisal na Doumbia, wawili kuikosa TP Mazembe

NABI tuko tayari awagusia Feisal na Doumbia wawili kuikosa TP Mazembe, Matokeo ya Yanga vs TP Mazembe CAF Confederation Cup, matokeo Yanga SC TP Mazembe DR Congo, Yanga SC vs TP Mazembe Kombe la Shirikisho 2022/2023, Yanga SC vs TP Mazembe DR Congo CAF Confederation Cup 2022/2023.

NABI tuko tayari, awagusia Feisal na Doumbia, wawili kuikosa TP Mazembe,Matokeo ya Yanga vs TP Mazembe CAF Confederation Cup, matokeo Yanga SC TP Mazembe DR Congo, Yanga SC vs TP Mazembe Kombe la Shirikisho 2022/2023, Yanga SC vs TP Mazembe DR Congo CAF Confederation Cup 2022/2023.

NABI tuko tayari, awagusia Feisal na Doumbia, wawili kuikosa TP Mazembe

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Young Africans, Nasreddine Nabi amesema kuwa Kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe utakaochezwa kesho Jumapili ya February 19 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari, Nabi amesema kuwa baada ya kupoteza dhidi ya US Monastir, wamefanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza katika mchezo huo na sasa wako tayari kuikabili TP Mazembe.

NABI tuko tayari awagusia Feisal na Doumbia wawili kuikosa TP Mazembe

Aidha Nabi amewaomba radhi Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo kutokana na Matokeo hayo ambayo waliyapata baada ya kufanya makosa.

“Tunawaomba radhi Mashabiki na Wanachama wetu kwa kupoteza mchezo dhidi ya Monastir. Yalikuwa makosa yetu lakini tumepata muda wa kufanyia kazi mapungufu yote na sasa tuko tayari kwa mchezo unaofuata dhidi ya TP Mazembe”

“Mashindano haya hayamaliziki kwa mechi moja hivyo bado tunayo nafasi ya kufanya vizuri katika mechi zote zinazofuata”

“Morali ya wachezaji iko juu, wanajituma mazoezini na kuonyesha wanataka kushinda dhidi ya TP Mazembe. Hali hiyo inanipa matumaini kuona tutakuwa na mchezo mzuri hapo kesho,” amesema Nabi

Kocha huyo raia wa Tunisia amebainisha kuwa katika mchezo huo atawakosa wachezaji wawili ambao ni Bernard Morrison ambaye ni majeruhi na Salum Abubakar Sure Boy’ ambaye anauguliwa na mtoto.

Nabi pia amesema kuwa kiungo Mshambuliaji Stephen Aziz Ki atafanyiwa tathmini baada ya mazoezi ya mwisho leo jioni kuona utayari wake akiwa amekosa mazoezi kwa siku mbili kutokana na matatizo ya kifamilia.

Nabi pia aliyajibu maswali ya wanahabari waliowaulizia Wachezaji Mamadou Doumbia na Feisal Salum ‘Fei Toto’

Nabi amesema Doumbia anaendelea kufanya mazoezi na Wachezaji wenzake na sababu pekee inayomfanya hachezi kwa sasa ni kwa kuwa hana muunganiko na wenzake wakati suala la Feisal amesema sio kipaumbele kwa sasa kwa sababu kwa muda wote ambao amekosekana Wachezaji wengine wametekeleza vyema majukumu yao.

“Feisal ni Mchezaji mzuri, tunafahamu bado ana mkataba na Yanga hivyo akirudi tutamkaribisha kwa mikono miwili lakini hata asiporudi sio kwamba Yanga haitaendelea”

“Wachezaji na makocha wanapita lakini Yanga itaendelea kubaki. Katika mwezi mmoja ambao amekosekana sisi benchi la ufundi tulitengeneza timu kwa kuzingatia Wachezaji tulionao”

“Focus yetu kwa sasa ni mchezo dhidi ya TP Mazembe ambao tunahitaji kushinda,” alimaliza Nabi.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *