Nijuze Habari App

NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania Leo July 2023

Filed in Ajira, New by on 17/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania Leo July 2023

Nafasi za kazi Halmashauri za wilaya Miji na majiji,Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023/2024, Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali | Tanzania Jobs 2023,Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania,Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali | Tanzania Jobs 2023,Nafasi za kazi Halmashauri July 2023,Nafasi Za Kazi HALMASHAURI YA WILAYA YA Mvomero,NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO,Nafasi za kazi halmashauri July 2023,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2023,NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania, Nafasi za kazi watendaji wa kata.

NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania Leo July 2023

NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania Leo July 2023,Job Vacancies at Various Halmashauri 2023, Nafasi za Kazi Halmashauri 2023,Ajira za halmashauri 2023.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya Kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuomba nafasi zifuatazo:

MTENDAJI WA KIJIJI III NAFASI- MBILI (2)

SIFA:

  • Awe na Elimu ya Kidato cha IV au VI.
  •  Awe na Astashahada/Cheti “NTA Level 5” katika moja ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii Kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
  • NECTA Matokeo ya Kidato Cha Sita 2023/2024 Form Six Results

Nafasi za kazi Halmashauri za wilaya Miji na majiji,Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023/2024, Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali | Tanzania Jobs 2023,Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania,Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali | Tanzania Jobs 2023,Nafasi za kazi Halmashauri July 2023,Nafasi Za Kazi HALMASHAURI YA WILAYA YA Mvomero,NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO,Nafasi za kazi halmashauri July 2023,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2023,NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania, Nafasi za kazi watendaji wa kata.KAZI NA MAJUKUMU

  • Afisa Masuuli na mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
  • Kusimamia ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao, kuwa mlinzi wa Amani na msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji.
  • Kuratibu na Kusimamia upangaji wa Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
  • Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
  • Kutafsiri na kusimamia Sera, sheria na taratibu.
  • Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya kitaalam katika Kijiji.
  • Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Kijiji.
  • Kupokea, Kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.

MSHAHARA
Cheo cha Mtendaji wa Kijiji III kina mshahara wa TGS B1 kwa Mwezi.

NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania Leo July 2023, Job Vacancies at Various Halmashauri 2023

Masharti ya Jumla

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
  • Mwombaji awe Raia wa Tanzania ambaye ana umri si zaidi ya miaka 45.
  • Barua ya maombi iambatane na wasifu binafsi wa mwombaji wa hivi karibuni (Curriculum Vitae)
  • Barua ya maombi iambatanishwe na nakala ya vivuli vya vyeti vya Kidato cha IV. Kidato cha IV na Cheti cha Kuzaliwa.
  • Picha mbili ndogo (passport size) za hivi karibuni.
    Matokeo ya Muda Hayatakubalika.
    (Provisional/Testimonials/Statement
    of results)
  • Watumishi ambao ni waajiriwa wa Serikali maombi yao lazima yapitishwe na waajiri wao.
  • Waombaji wenye vyeti vya kidato cha nne na sita waliosoma nje ya nchi wanatakiwa kuwasilisha Uthibitisho wa NECTA.
  • Waombaji wenye vyeti vya Astashahada/cheti vya nje ya nchi wanatakiwa kuambatanisha uthibitisho wa NACTE.
  • Barua ya Maombi iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
  • Mwombaji wa ajira atalazimika kuwa na namba ya utambulisho wa Uraia (National Identification Number) kutoka mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
  • Mwisho wa Kupokea maombi ni tarehe 19/07/2023 saa 9:30 Alasiri.
  • Waombaji watakaokidhi sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usaili.

Barua zote zitumwe kwa njia ya posta kwa:

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
48 Barabara ya Nalasi, S. L. P 275, 57682
Tunduru.

Nafasi za kazi Halmashauri za wilaya Miji na majiji,Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023/2024, Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali | Tanzania Jobs 2023,Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania,Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali | Tanzania Jobs 2023,Nafasi za kazi Halmashauri July 2023,Nafasi Za Kazi HALMASHAURI YA WILAYA YA Mvomero,NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO,Nafasi za kazi halmashauri July 2023,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2023,NAFASI mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania,Nafasi za kazi watendaji wa kata.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *