NAFASI Mpya Za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Leo Julai 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI Mpya Za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Leo Julai 2023

NAFASI Mpya Za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Leo Julai 2023
NAFASI Mpya Za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Leo Julai 2023, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya amepata kibali cha ajira Mpya cha tarehe 06 Aprili, 2023 chenye Kumb.Na.97/228/01/ “TEMP”/06 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazotakiwa kujaza nafasi ifuatayo:-
2MWANDISHI MWENDESHA OFISI II, NAFASI MBILI (2)
SIFA ZA MWOMBAJI
- Waombaji wawe na cheti cha kidato cha Nne (form IV) au VI aliyehitimu mafunzo ya stashahada (DIPLOMA) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili.
- Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 80 kwa dakika moja na kupata programu za komputa za ofisi kama vile: word, Excel, Powerpoint, Internet, Email na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.
MAJUKUMU
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na siri;
- Kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa;
- Kutunza taarifa na Kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine;
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa
majukumu ya kazi; - Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa walio katika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
- Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali ; na
- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.
MSHAHARA
- Kwa kuzingatia Ngazi za Mishahara ya serikali yaani TGS C.
MASHARTI YA JUMLA
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
- Waombaji wawe ni raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 18 hadi
45. - Waombaji wawasilishe picha mbili za hivi karibuni.
- Waombaji wawasilishe maelezo binafsi
(Curriculam Vitae)
yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini watatu (Referees) wa kuaminika. - Waombaji waambatanishe nakala ya vyeti vya masomo na taaluma na cheti cha kuzaliwa.
- Muombaji atakayewasilisha Result slip” “Statement of results” “Provisional results” au “Transcript”. HAVITAKUBALIKA.
- Kwa waliosoma nje ya nchi elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita wawasilishe uthibitisho kutoka Baraza la Mitahani la Tanzania (NECTA).
- Kwa waliomaliza vyuo nje ya nchi wawasilishe uthibitisho kutoka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).
- Waombaji watakaokidhi sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika
usaili. - Waombaji waandike namba ya kitambulisho cha Taifa katika barua za maombi au waambatishe nakala ya Kitambulisho cha Taifa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 24/07/2023
saa 9:30 Alasiri.
Ofisi Kuu ya Halmashauri ya Jiji, Mtaa wa Soko Kuu, S.L.P 149, Mbeya, Simu: +255 25 2502372, Nukushi:+255 25 2502488,Barua pepe:[email protected],Tovuti:www.mbeyacc.go.tz
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu na nyaraka zote zinazohitajika. Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi wa Jiji,
Halmashauri ya Jiji la Mbeya,
S.L.P 149,
MBEYA.
NAFASI Mpya Za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Leo Julai 2023, Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya 2023 Updated,Nafasi za kazi Halmashauri ya Mbeya Vijijini Jobs,Nafasi za kazi Mbeya |Job in Mbeya |Ajira Mpya Zilizotangazwa leo Jijini Mbeya,Nafasi za kazi Halmashauri ya Mbeya | Tanzania Jobs 2023,Tangazo la nafasi za kazi,Anuani ya mkurugenzi wa jiji la mbeya,Mbeya City Council profile,Nafasi za kazi halmashauri ya jiji LA mbeya, Halmashauri ya jiji la mbeya address, Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya July 2023 Updated,Anuani ya mkurugenzi wa jiji la mbeya, NAFASI ZA KAZI MBEYA, Matangazo ya ajira Mbeya,Nafasi Za Kazi Mbeya Jiji Ajira Mpya Halmashauri Ya Wilaya,Job Vacancies at Tanga City Council.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Anuani ya mkurugenzi wa jiji la mbeya, Halmashauri ya jiji la mbeya address, Job Vacancies at Tanga City Council., Matangazo ya ajira Mbeya, Mbeya City Council profile, NAFASI Mpya Za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Leo Julai 2023, Nafasi za kazi halmashauri ya jiji LA mbeya, Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya 2023 Updated, Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya July 2023 Updated, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mbeya | Tanzania Jobs 2023, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mbeya Vijijini Jobs, NAFASI ZA KAZI MBEYA, Nafasi za kazi Mbeya |Job in Mbeya |Ajira Mpya Zilizotangazwa leo Jijini Mbeya, Nafasi Za Kazi Mbeya Jiji Ajira Mpya Halmashauri Ya Wilaya, tangazo la nafasi za kazi