NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023

NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023
NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023, Dodoma Regional Hospital Job Vacancies 2023, Nafasi za Ajira Hospital ya Dodoma Tanzania, Nafasi za Ajira Dodoma Hospital.
TANGAZO LA KAZI YA MKATABA WA KUJITOLEA
Mganga Mfawidhi Wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma kwa mkataba wa kujitolea kwa kada mbalimbali kama ilivyo ainishwa hapo chini.
Nafasi za kazi zinazotangazwa ni kama ifuatavyo:-
- Daktari Daraja la II (MO)
- Afisa Muuguzi Daraja la II (NO)
- Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (ANO)
- Mteknolojia Dawa Daraja la II
- Mtunza Kumbukumbu za Afya
- Fiziotherapia
- Mtoa Tiba kwa Vitendo
- Msaidizi wa Afya
DAKTARI DARAJA LA II – NAFASI 3
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Wawe wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza mafunzo ya kazi “Internship” ya muda usiopungua miezi kumi na miwili na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura.
- Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
- Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.
- Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.
- Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake
- Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi.
- Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.
- Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)
- Kutoa huduma za outreach katika wilaya/Mkoa wake.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
AFISA MUUGUZI DARAJA LA II NAFASI 5
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Wawe wenye Shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali, waliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC).
KAZI NA Majukumu:
- Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii,
hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya. - Kukusanya takwimu muhimu za afya.
- Kuwaelekeza na kusimamia wauguzi walio chini yake. (iv) Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani.
- Kutoa ushauri nasaha.
(vi) Kutayarisha mpango wa kazi kwa ajili ya huduma za uuguzi. - Kutoa huduma za kinga na uzazi
- Kuelimisha wagonjwa na jamii
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023
AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II – NAFASI 15
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Wawe mwenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC).
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kutoa huduma za uuguzi
- Kukusanya takwimu muhimu za afya.
- Uwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake
- Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya (v) Kutoa huduma za kinga na uzazi
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023
MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II NAFASI – 1
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Awe wenye Stashahada katika fani ya Famasi na Dawa ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambaye amesajiliwa na Baraza la Wafamasia.
KAZI NA MAJUKUMU
- Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi.
- Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa na watumishi
- Kuchanganya dawa
- Kuhifadhi dawa na vifaa tiba
- Kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa.
- Kukagua dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi katika eneo lake la kazi
- Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa.
- Kuratibu kazi za kamati ya dawa ya hospitali
- Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba.
- Kufanya uchunguzi wa ubora wa dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi
- Kufanya kaguzi mbalimbali katika sehemu zinazohifadhi dawa
- Kusimamia utendaji wa kazi watumishi walio chnini yake
- Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
- WACHEZAJI wapya wa Simba 2023/2024
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- DOWNLOAD App ya Yanga | Download Yanga App
MTUNZA KUMBUKUMBU ZA AFYA – NAFASI 2
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au kidato cha sita na Stashahada ya utunzaji kumbukumbu za afya kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kuandaa na kutunza utaratibu unaorahisisha upatikanaji wa kumbukumbu / nyaraka/taarifa.
- Kutafuta mafaili / kumbukumbu
- Kushughulikia mapokezi ya wagonjwa wa ndani (in-patients) na nje (out-patients).
- Kukusanya, kukagua na kuhifadhi taarifa mbalimbali za wodi za wagonjwa.
FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II – NAFASI 2
SIFA ZA WAOMBAJI:
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
- Wawe wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada ya miaka mitatu katika fani yaFiziotherapia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kutoa tiba kwa kuzoeza viungo/ kwa vitendo.
- Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa.
- Kutunza vifaa vya kutolea tiba
- Kutoa elimu ya Afya kwa jamii
- kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
MTOA TIBA KWA VITENDO (OCCUPATIONAL THERAPIST) NAFASI 1
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Awe mhitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada ya miaka mitatu katika fani ya Mtoa tiba kwa vitendo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kumchunguza mgonjwa ili kutambua na kupanga tiba kwa vitendo.
- Kutekeleza tiba kwa vitendo kwa mgonjwa.
- Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa.
- Kutunza vifaa vya Idara
- Kutoa elimu ya Afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
MSAIDIZI WA AFYA NAFASI 3
SIFA ZA WAOMBAJI:
- Awe amehitimu kidato cha nne waliopata mafunzo ya mwaka mmoja katika fani ya afya
- Kazi na majukumu:
- Kufanya usafi wa vifaa vya kazi, usafi wa wodi na mazingira
- Kusaidia wagonjwa wenye ulemavu na wasiojiweza katika kwenda haja (kubwa na ndogo) na kuoga
Kumsaidia kumlisha mgonjwa asiyejiweza - Kuchukua nguo za mgonjwa kuzipeleka kwenda kufuliwa
- Kuchukua sampuli za mgonjwa kwa ajili ya vipimo vya maabara na kufuatilia majibu
- Kutayarisha vifaa kwa ajili ya kusafisha na kufunga majeraha.
- Kufuatilia mahitaji ya dawa kwa wagonjwa kutoka hifadhi ya dawa.
- Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi.
- NACTE: Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vya Afya 2023/2024
SIFA ZA JUMLA ZA WAOMBAJI
- Awe Raia wa Tanzania;
- Awe na Umri usiopungua miaka 18 na usiozidi Umri wa miaka 35;
- Asiwe Mwajiriwa wa Serikali.
- Kila mwombaji aambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho wa taifa (NIDA).
- Waombaji watakaokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili na
watakaoshindwa kuzingatia masharti ya tangazo hili hawataitwa. - Waombaji waambatanishe maelezo binafsi (CV), akionesha namba za simu na anuani yake na wadhamini 3 wa uhakika, vyeti vya elimu na taaluma.
- Mwombaji awe na uzoefu usio pungua mwaka 1 katika taaluma hiyo akiwa anafanya kazi, hivyo waombaji wenye uzoefu wa muda mrefu watapewa kipaumbele.
- Waombaji wa kada ya udaktari wanatakiwa wawe mamemaliza mafunzo ya utarajali na kupata leseni.
SIFA ZA KITAALUMA
- Waombaji wote wawe na vyeti vya elimu, vyeti vya taaluma, leseni, kwa waombaji ambao wamesajiriwa na baraza la taaluma husika na awe amemaliza mafunzo ya utarajali.
MSHAHARA
- Waombaji watakaopata nafasi na kupewa mkataba watalipwa mshahara kutokana na makubaliano ya kimatakaba kati ya Mwajiri na mwajiriwa.
Maombi yote yaambatanishwe na:-
Nakala ya cheti cha Kidato cha Nne au/na cha Sita kulingana na Kada ya Mwombaji.
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa;
Nakala ya Vyeti vya Taaluma (Cheti na Transcripts) na Wasifu (C.V); - Picha ndogo (passport size) mbili za hivi karibuni.
Waombaji waambatanishe barua ya maombi na viambata vingine muhimu.
Maombi yote yatumwe Kwa njia ya barua pepe [email protected] POSTA au yapelekwe OFISI YA MASIJALA YA WAZI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA kuanzia tarehe 11/07/2023 Saa 2.00 asubuhi hadi Tarehe 18/07/2023 Saa 09.30 alasiri.
Maombi yatumwe kwa:
MGANGA MFAWIDHI,
HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA DODOMA,
S.L.P 904,
DODOMA.
NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023,Dodoma Jobs in Tanzania Vacancies Offers – July 2023,Dodoma Regional Referral Hospital Vacancies Julai 2023,Nafasi za kazi Dodoma | Jobs & Vacancies in Dodoma, Sekretarieti ya Ajira,Dodoma Regional Referral Hospital: Mwanzo,Nafasi za kazi Dodoma,Supermarket jobs in Dodoma, Best hospitals in Dodoma,Nafasi za kazi bungeni dodoma 2023,Nafasi za kazi Dodoma zoom.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Best hospitals in Dodoma, Dodoma Jobs in Tanzania Vacancies Offers - July 2023, Dodoma Regional Hospital Job Vacancies 2023, Dodoma Regional Referral Hospital Vacancies Julai 2023, Dodoma Regional Referral Hospital: Mwanzo, NAFASI mpya za Kazi Hospital ya Mkoa Wa DODOMA Leo July 2023, Nafasi za Ajira Dodoma Hospital, Nafasi za Ajira Hospital ya Dodoma Tanzania, Nafasi za kazi bungeni dodoma 2023, Nafasi za kazi Dodoma, Nafasi za kazi Dodoma | Jobs & Vacancies in Dodoma, Nafasi za kazi Dodoma zoom., Sekretarieti ya Ajira, Supermarket jobs in Dodoma