NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023
NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023, Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania 2023,Jobs at Polisi 2023,Ajira za Jeshi 2023,Ajira Mpya za Polisi 2023,Nafasi za kazi Polisi 2023, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania ametangaza nafasi mpya za ajira ya kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.
SIFA ZA WAOMBAJI
- Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
- Awe amehitimu kidato cha nne kuanzia mwaka 2019 hadi 2022 mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
- Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I-IV).
- Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Point) 26 hadi 29.
- Wenye Elimu ngazi ya Astashahada na Stashahada wawe na umri wa miaka 18 hadi 29.
- Awe na urefu usiopunguwa futi tano na inchi tano (5’5″) kwa wanaume, na futi tano inchi mbili (5’2″) kwa wanawake.
- Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) walioko kwenye Makambi na nje ya Makambi.
- Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
- Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
- Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto.
- Awe hajawahi kutumia madawa ya kulevya.
- Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
- Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
- Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
- Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa
- Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
- Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Stashahada (NTA level 6) na Astashadaha (NTA level 5 au NVA level 3) wanatakiwa wawe na fani zifuatazo:-
- Muziki (Music and sound production, performing arts, film and TV production)
- Ushonaji (Graphics and printing design, leather crafting, sewing machine maintainance, sewing operator, sign writing)
- Ufundi seremala (Carpentry and joinery) na Ufundi magari (Automobile mechanics
- Autoelectric engineering & Autobody repairs).
- Waombaji watakaofaulu usaili ndio watakaochaguliwa.
- FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)
NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
- Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila ya kusahau kuweka namba za simu, na watumie anuani: Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA.
Waombaji wote waambatanishe nakala zifuatazo:
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
CLICK HERE TO DOWNLOAD KIAMBATANISHI
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa
- Nakala ya kitambulisho cha Taifa cha NIDA au namba ya NIDA
- Nakala ya cheti cha kuhitimu mafunzo ya JKT/JKU kwa walio nje ya makambi.
- Nakala za vyeti vya taaluma (Academic Certificates).
- Nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo ya sekondari (Leaving Certificate).
Kwa waombaji wa kidato cha nne ambao wamehitimu mafunzo ya JKT/JKU waliopo nje ya makambi (uraiani) maombi yao yapelekwe kwa Makamanda wa Polisi kwenye Mikoa yao husika na sio Makao Makuu ya Polisi Dodoma.
Kwa waombaji wa kidato cha nne waliopo kwenye makambi ya JKT/JKU maombi yao yawasilishwe kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kupitia kwa Wakuu wa kambi walizopo.
Kwa waombaji wenye elimu ya Astashahada na Stashahada zilizoainishwa hapo juu watatakiwa kujaza fomu (kiambatisho ‘A’) ambayo inapatikana kwenye tovuti ya Polisi inayoonyesha taarifa zake binafsi.
Utumaji wa fomu hiyo usiwe kwa njia ya kuskani (Scan) ila unatakiwa kupakua (download), na kujaza taarifa husika kisha kuituma pamoja na maombi (Yakiwa kwenye format ya pdf) kupitia barua pepe [email protected].
Maombi yote yatakayowasilishwa kwa mkono au kwa njia ya Posta hayatapokelewa.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 29/07/2023.
NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023 Download PDF
NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023,NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania,Nafasi za Kazi Polisi 2023 Ajira Mpya Police Job Opportunities,NAFASI za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo July 2023,Nafasi za kazi – Usalama wa Raia na Mali zao – Polisi Tanzania,Nafasi za kazi Jeshi La Polisi | Tanzania Jobs 2023,Jeshi la Zimamoto na Uokoaji – Kuokoa Maisha na Mali,Nafasi za kujiunga na Jeshi la polisi,Jeshi la Magereza Tanzania Bara,Nafasi za Ajira Jeshi la Polisi Apply Here,Jeshi la Magereza Tanzania Bara,nafasi za kujiunga na jeshi,New Job at Tanzania Police Force 2023 Nafasi za kazi Polisi 2023,Call for Work – Names Selected to Join at Jeshi la Polisi July 2023,Jeshi la Polisi Tanzania Archives.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Call for Work - Names Selected to Join at Jeshi la Polisi July 2023, Jeshi la Magereza Tanzania Bara, Jeshi la Polisi Tanzania Archives., Jeshi la Zimamoto na Uokoaji – Kuokoa Maisha na Mali, NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania, NAFASI mpya za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo Julai 18.2023, Nafasi za Ajira Jeshi la Polisi Apply Here, Nafasi za kazi - Usalama wa Raia na Mali zao - Polisi Tanzania, Nafasi za kazi Jeshi La Polisi | Tanzania Jobs 2023, NAFASI za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania Leo July 2023, Nafasi za Kazi Polisi 2023 Ajira Mpya Police Job Opportunities, Nafasi Za Kujiunga Na Jeshi, Nafasi za kujiunga na Jeshi la polisi, New Job at Tanzania Police Force 2023 Nafasi za kazi Polisi 2023
Mimi Nina diploma on community development nta level 6 na Nina shahada ya ualimu je naweza kuomba nafasi hizo? Nina shahada ya economics na commerce,pia diploma