Nijuze Habari App

Nafasi Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023

Filed in Ajira, Michezo, New by on 12/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023

NAFASI Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023,372 New Government Job Vacancies UTUMISHI at July, 2023 - Various Posts, ajira.go.tz,http://ajira.go.tz,372 Utumishi Jobs in Tanzania, Vacancies Offers - July Ajira, Sekretarieti ya Ajira,Nafasi za Kazi 2023 | Ajira Portal | Ajira Tanzania 2023 | Ajira Mpya TAMISEMI,Nafasi za kazi Utumishi wa Umma 2023/2024 | Jobs in Tanzania,UTUMISHI Job Opportunities,NAFASI za kazi zilizotangazwa leo,Ajira portal login,Nafasi za kazi UTUMISHI 2023,Ajira portal login,Ajira portal,Ajira portal Vacancies,Ajira Portal Login Matokeo Selections Results,UTUMISHI Names Call for Work July 2023.

NAFASI Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023

Nafasi Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023,372 Job Vacancies at UTUMISHI July 2023, Nafasi za kazi UTUMISHI 2023.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mia Tatu Sabini na Mbili (372) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

MHANDISI UMEME – MITAMBO (ELECTRO-MECHANICAL) DARAJA LA II – NAFASI 4

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu Umeme na mitambo mbalimbali, bei za mitambo na vifaa vya umeme ndani na nje ya nchi.
  • Kuhakikisha uthamani sahihi wa kazi ili kufikia thamani ya fedha.
  • Kupanga, Kubuni na Kutengeneza Mitambo chini ya Mhandisi aliyesajiliwa (Professional Engineer).
  • Kufanya Usanifu na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Ufundi na Umeme (Electrical and Mechanical Projects).
  • Kufanya Ukaguzi na matengenezo ya kawaida na matengenezo kinga ya vifaa vya kazi, Ufundi na mitambo.
  • Kusanifu, kuandaa gharama na kufanya matengenezo ya miradi ya Umeme na Ufundi (Electrical and Mechanical Projects);
  • Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi.
  • Kuandaa na kutunza kanzidata ya mitambo pamoja na matengenezo yake; na Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na Elimu ya Kidato cha nne (Form IV) au cha Sita (Form VI) aliyefuzu mafunzo ya Shahada ya kwanza ya Uhandisi katika fani ya Umeme na Mitambo (Electro-Mechanical) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, wenye ujuzi wa kutumia kompyuta na waliosajiliwa na Bodi ya Wahandisi kama Graduate Engineer (GE).

NGAZI YA MSHAHARA – Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali – TGS E1

MHANDISI UMEME (ELECTRICAL – POWER (RENEWABLE ENERGY) DARAJA LA II- NAFASI 1

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu Nishati ya Umeme pamoja na bei za vifaa vya umeme ndani na nje ya nchi.
  • Kuhakikisha uthamani sahihi wa kazi ili kufikia thamani ya fedha.
  • Kupanga, Kubuni na Kutengeneza Mitambo chini ya Mhandisi aliyesajiliwa (Professional Engineer).
  • Kufanya Usanifu na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Ufundi na Umeme (Electrical and Mechanical Projects).
  • Kufanya Ukaguzi na matengenezo ya kawaida na matengenezo kinga ya vifaa vya kazi, Ufundi na Umeme.
  • Kusanifu, kuandaa gharama na kufanya matengenezo ya miradi ya Nishati ya Umeme na Ufundi (Electrical and Mechanical Projects).
  • Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI

  1. Awe na Elimu ya Kidato cha nne (Form IV) au cha Sita (Form VI) aliyefuzu mafunzo ya Shahada ya kwanza ya Uhandisi katika fani ya Umeme wa Umeme (Electrical-Power) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, wenye ujuzi wa kutumia kompyuta na waliosajiliwa na Bodi ya Wahandisi kama Graduate Engineer (GE).

NGAZI YA MSHAHARA – Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali – TGS E1

MHAIDROLOJIA DARAJA LA II – (HYDROLOGIST II) NAFASI 16

KAZI NA MAJUKUMU YA MHAIDROLOJIA DARAJA LA II

  • Kusimamia ujenzi na ukarabati wa vituo vya hali ya hewa na vituo vya upimaji wa wingi wa maji kwenye mito, mabwawa na maziwa.
  • Kufanya uhakiki wa takwimu (validation activities) wakati wa kuchakata takwimu; Kuandaa mipango na michoro mingine ya mtandao wa uchunguzi (observation networks) wa kihaidrolojia na kimetorolojia.
  • Kuandaa mipango, kusanifu, kusimamia shughuli za ujenzi katika vituo vya uchunguzi (observation networks)
  • Kusimamia uchunguzi wa kihaidrolojia wa uhusiano kati ya kina cha maji na wingi wa maji (stage – discharge observations).
  • Kutengeneza ramani za vidaka maji katika mabonde ya Maji kwa kutumia njia ya Geographical Information System (GIS).
  • Kuandaa ramani zinazoonyesha maeneo yanayoathiriwa na mafuriko katika mabonde na kushiriki katika kutoa ushauri juu ya tahadhari.
  • Kuhakiki ubora wa takwimu zote za kihaidrolojia na kimeteorolojia.
  • Kuratibu na kufanya uchunguzi wa awali wa shughuli zinazohusu vituo vya kihaidrolojia na Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
  • Awe na Elimu ya Kidato cha nne (Form IV) au cha Sita (Form VI) aliyefuzu mafunzo ya Shahada ya kwanza ya Haidrolojia au Uhandisi wa Rasilimali maji kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

NAFASI Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023,372 New Government Job Vacancies UTUMISHI at July, 2023 - Various Posts, ajira.go.tz,http://ajira.go.tz,372 Utumishi Jobs in Tanzania, Vacancies Offers - July Ajira, Sekretarieti ya Ajira,Nafasi za Kazi 2023 | Ajira Portal | Ajira Tanzania 2023 | Ajira Mpya TAMISEMI,Nafasi za kazi Utumishi wa Umma 2023/2024 | Jobs in Tanzania,UTUMISHI Job Opportunities,NAFASI za kazi zilizotangazwa leo,Ajira portal login,Nafasi za kazi UTUMISHI 2023,Ajira portal login,Ajira portal,Ajira portal Vacancies,Ajira Portal Login Matokeo Selections Results,UTUMISHI Names Call for Work July 2023.NGAZI YA MSHAHARA – Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS E1

MHAIDROJIOLOJIA DARAJA II (HYDROGEOLOGIST II) – NAFASI 11

KAZI NA MAJUKUMU YA MHAIDROLOJIA DARAJA LA II

  • Kufanya na kusimamia utafiti wa maji chini ya ardhi wenye lengo la kubaini kiasi na ubora wa maji yaliyoko chini ya ardhi
  • Kufanya kazi za kihaidrojiolojia zinazohusiana na usalama wa mabwawa
  • Kukagua mitambo na vifaa vya makampuni yanayohitaji leseni za utafiti wa maji chini ya ardhi.
  • Kukusanya, kuchambua na kuchakata takwimu na taarifa mbalimbali za kihaidrojiolojia kwaajili ya matumizi ya maendeleo ya Sekta ya Maji.
  • Kufanya matengenezo madogo ya vifaa vya utafiti wa maji chini ya ardhi

Kuona Nafasi zaidi Bonyeza link hapa chini udownload PDF.

NAFASI Mpya za Kazi zaidi ya 370 kutoka UTUMISHI July 11 2023 Donwload PDF

372 New Government Job Vacancies UTUMISHI at July, 2023 – Various Posts, ajira.go.tz,http://ajira.go.tz,372 Utumishi Jobs in Tanzania, Vacancies Offers – July Ajira, Sekretarieti ya Ajira,Nafasi za Kazi 2023 | Ajira Portal | Ajira Tanzania 2023 | Ajira Mpya TAMISEMI,Nafasi za kazi Utumishi wa Umma 2023/2024 | Jobs in Tanzania.

UTUMISHI Job Opportunities,NAFASI za kazi zilizotangazwa leo,Ajira portal login,Nafasi za kazi UTUMISHI 2023,Ajira portal login,Ajira portal,Ajira portal Vacancies,Ajira Portal Login Matokeo Selections Results,UTUMISHI Names Call for Work July 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *