Nijuze Habari

NAFASI za Kazi 9 Yanga SC August 2022

Filed in Ajira by on 13/08/2022 0 Comments

NAFASI za Ajira Yanga, Nafasi za Kazi Yanga SC, Nafasi za Ajira Yanga, Nafasi za Ajira Yanga SC, Nafasi za Kazi Young Africans SC, Nafasi za Kazi Young Africans, Nafasi za Ajira Young Africans SC, Nafasi za Ajira Young Africans, Nafasi za Ajira, Nafasi za Kazi.

Nijuze Habari Application

NAFASI za Kazi 9 Yanga SC August 2022

NAFASI za Ajira Yanga, Nafasi za Kazi Yanga SC, Nafasi za Ajira Yanga, Nafasi za Ajira Yanga SC, Nafasi za Kazi Young Africans SC, Nafasi za Kazi Young Africans, Nafasi za Ajira Young Africans SC, Nafasi za Ajira Young Africans, Nafasi za Ajira, Nafasi za Kazi.

Logo ya Yanga SCYoung Africans Sports Club, commonly referred as Yanga is a Tanzanian football club based in JangwaniDar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.

Full name Young Africans Sports Club
Founded 11 February 1935; 87 years ago, as New Young
Stadium National Stadium (Tanzania)
Capacity 60 000
President Eng.Hersi Ally Said
Head coach Nasreddine Nabi[1]
League Tanzanian Premier League
2021-22 Unbeaten Champions
Website Club website

Nicknamed “Yanga” (Young Boys),[2] the club has won 28 league titles and number of domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They have won the CECAFA Club Championship five times.

The club became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours. The club is currently in a process that will keep the club ownership 49% for investors and the rest 51% to the club members.

The club holds a long-standing rivalry with their cross-city rivals Simba, whom they contest the Dar es Salaam (better known as Kariakoo) derby. The rivalry was ranked 5th as one of the most famous African derbies.[3]

KLABU ya Yanga inawatangazia Wanachama wake nafasi za Ajira katika nafasi zifuatazo;

1.Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer).
2.Mkurugenzi wa Fedha ( Director of Finance).
3.Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano.
4.Meneja Mahusiano (Relationship Manager).
5.Afisa Rasilimali Watu (Human Resource Officer).
6.Afisa Habari (Information Officer).
7.Meneja wa Miradi (Project Manager).
8.Msaidizi wa Ofisi ya Mtendaji Mkuu (Personal Assistant to the Chief Executive Officer).
9.Daktari wa timu (Orthopaedist).

👉Sifa za muombaji:
Muombaji ni lazima awe Mwanachama hai wa Yanga kama iliyoelezwa kwenye ibara ya 37(1) ya Katiba ya Yanga toleo la mwaka 2021.

Kwa nafasi ya Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi na Meneja lazima awe na elimu angalau ya Shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu chochote kinachotambuliwa na mamlaka za Vyuo Vikuu Tanzania.

Kwa nafasi ya Mtendaji Mkuu na Meneja awe amewahi kuwa Afisa Mwandamizi kwa kipindi kisichopungua miaka mitano (5)

Kwa nafasi ya nyingine lazima awe na elimu angalau ya Diploma, awe na uzoefu wa Uongozi wa mpira kwa ngazi za juu kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu(3) na asiwe amewahi kukutwa na hatia ya makosa ya jinai.

Jinsi ya kutuma maombi; Barua ya maombi iambatanishwe na wasifu (resume), nakala ya kadi ya Uanachama, nakala ya cheti cha Elimu ya chuo Kikuu, nakala ya cheti cha kidato cha nne.

Nakala hizo zithibitishwe na muhuri wa Mwanasheria.

Barua ya Tawi husika ya Muombaji kuthibitisha uanachama wake Muombaji lazima aambatanishe barua ya serikali ya Mtaa anapoishi (scanned copy).

Maombi lazima yawe na mawasiliano ya barua pepe (email) na namba za simu za muombaji.

Nafasi hizi ni kwa Wanachama wa Yanga tu si vinginevyo na Wanawake watapewa kipaumbele.

Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 18/08/2022 saa kumi kamili jioni.

Maombi (na viambatanisho/ attachments) yatumwe kwa njia ya barua pepe kupitia anuani ifuatayo, Email: info@yangasc.africa

NAFASI za Ajira Yanga, Nafasi za Kazi Yanga SC, Nafasi za Ajira Yanga, Nafasi za Ajira Yanga SC, Nafasi za Kazi Young Africans SC, Nafasi za Kazi Young Africans, Nafasi za Ajira Young Africans SC, Nafasi za Ajira Young Africans, Nafasi za Ajira, Nafasi za Kazi.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.