NAFASI za Kazi Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Leo June 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI za Kazi Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Leo June 2023
![NAFASI za Kazi Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Leo June 2023, NAFASI ZA KAZI BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA),TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BASATA.pdf,PDFjamhuri ya muungano wa tanzania baraza la sanaa la taifa [basata],https://www.basata.go.tz,Tuzo za tma tanzania,Sanaa go,Sanaa Tanzania,Ada YA chuo cha SANAA BAGAMOYO,Viongozi wa basata,Baraza la Sanaa la Taifa - BASATA.](https://nijuzempya.com/wp-content/uploads/2023/06/images-1-1.png)
NAFASI za Kazi Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Leo June 2023
POST: ASSISTANT ARTS OFFICER (ART AND DESIGN) – 2 POST Employer: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), More Details |
2023-06-24 Login to Apply |
POST: ARTS OFFICER II (ART AND DESIGN) – 2 POST Employer: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), More Details |
2023-06-24 Login to Apply |
DOWNLOAD PDF FILE HERE
NAFASI za Kazi Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Leo June 2023, NAFASI ZA KAZI BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA),TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BASATA.pdf,PDF
jamhuri ya muungano wa tanzania baraza la sanaa la taifa [basata],https://www.basata.go.tz,Tuzo za tma tanzania,Sanaa go,Sanaa Tanzania,Ada YA chuo cha SANAA BAGAMOYO,Viongozi wa basata,Baraza la Sanaa la Taifa – BASATA.
Historia
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni Shirika la umma lililoundwa kwa Sheria ya Bunge Na. 23 ya Mwaka 1984 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 5 ya Mwaka 2019.
Historia inaonyesha kuwa, Sheria ya kuunda upya Baraza hili ilifanywa kwa kuunganishwa Sheria ya Baraza la Sanaa la Taifa ya Mwaka 1974 na Baraza la Muziki la Taifa (BAMUTA) ya Mwaka 1974. Baraza liliundwa ili lisimamie maendeleo ya sanaa nchini
Kazi za Baraza
Kwa mujibu wa Sheria Na. 23 ya mwaka 1984 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 5 ya Mwaka 2019, ambayo kwayo Baraza liliundwa, Majukumu ya Baraza ni pamoja na :
- Kufufua na kuhimiza maendeleo ya kazi za Sanaa
- Kufanya tafiti wa masuala mbalimbali ya Sanaa
- Kutoa ushauri na misaada ya kitaalamu kwa asasi au watu wanaojihusisha na shughuli za sanaa.
- Kuratibu shughuli za sanaa zinazofanywa na watu au Taasisi mbalimbali
- Kutoa na kuimarisha mipango ya mafunzo kwa Wadau wa Sanaa
- Kuishauri Serikali juu ya mambo yahusuyo maendeleo na uzalishaji wa kazi za Sanaa.
- Kuhamasisha maendeleo ya Sanaa kwa njia ya Maonyesho, Mashindano, Matamasha, Warsha na Semina.
- Kuanzisha, kukusanya na kuhifadhi torwi, ikiwa pamoja na zile zinazohusu watu, Asasi, Taasisi, vifaa na miundo mbinu inazohusiana na Sanaa
- Kusajili Wasanii na wale wote wanaojihusisha na shughuli za Sanaa
Muundo wa Baraza
Baraza la Sanaa la Taifa lina wajumbe wa Baraza ambao huteuliwa na Waziri anayehusika na masuala ya Sanaa. Mwenyekiti wa Baraza huteuliwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Baraza huteuliwa kwa kipindi cha miaka mitatu.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Wakati ambapo vipindi vya kuteuliwa kwa wajumbe havina ukomo, uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza ni kwa vipindi viwili tu vinavyofuatana. Kwa kawaida wajumbe wa Baraza huteuliwa kwa msingi wa uwakilishi wa mikoa, asasi, asasi zinazofundisha Sanaa, idara za Serikali na asasi zisizo za Serikali.
Baraza linaongozwa na Katibu Mtendaji, ambaye ndiye Afisa mtendaji mkuu. Baraza lina idara Mbili zifuatazo:
- Idara ya Ukuzaji na Maendeleo ya Sanaa, inayohusika na huduma za Sanaa
- Idara ya Huduma ya Taasisi, inayohusika na shughuli za huduma za Taasisi
Licha ya idara hizo Mbili, kuna vitengo vitano ambavyo hufanya kazi moja kwa moja chini ya Katibu Mtendaji. Vitengo hivyo ni ;
- Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
- Kitengo cha Manunuzi
- Kitengo cha Habari na Mawasiliano
- Kitengo cha Sheria
- Kitengo cha Tehama na Takwimu
Sanaa hujumuisha
-
- Muziki
Ambao unaweza kuwa wa kuimba na wa vyombo uliorekodiwa kwa sauti au utunzi wa muziki ulioandikwa, bendi, muziki wa jazi, ala, uliorekodiwa, video, taarabu, kwaya, gwaride,muziki wa asili wa ngoma na unaoambatana na maigizo na thamthiliya.
-
- Sanaa za Ufundi
Hujumuisha picha za kuchorwa kwa rangi, uchoraji wa kawaida, michoro ya majalada, vitabu au magazeti, uchoraji wa kwenye vitu vigumu kama metali au mbao, uandishi wa herufi ulionakishiwa, sanaa za vikaragosi kwa kutumia kompyuta na michoro iliyochapishwa. Ramani, michoro ya majengo na vielelezo, sanaa za kuumba na kuchonga, picha mgando za kamera, Kazi za usanifu majengo katika maumbo Sanaa za viwandani ikiwa pamoja na zilizo katika picha au zilizofumwa na urembo, na ubunifu wa mavazi, ususi na useketaji wa nguo.
-
- Sanaa za Maonyesho
Michezo ya kuigiza ya jukwaani, maigizo bubu, usanifu wa majukwaa, maleba, mapambo, uandishi wa tamthiliya, ngoma na ubunifu wake, sauti na vifaa vya jukwaani, sarakasi za binadamu au za wanyama, michezo ya redio.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Ada YA chuo cha SANAA BAGAMOYO, Baraza la Sanaa la Taifa - BASATA., https://www.basata.go.tz, NAFASI ZA KAZI BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA), NAFASI za Kazi Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Leo June 2023, PDF jamhuri ya muungano wa tanzania baraza la sanaa la taifa [basata], Sanaa go, Sanaa Tanzania, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BASATA.pdf, Tuzo za tma tanzania, Viongozi wa basata