NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Leo May 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Leo May 2023

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Leo May 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imepokea kibali cha ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2022/2023 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01 “TEMP”/06 cha tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora.
Kupitia kibali hicho, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kibaha anapenda kuwatangazia wananchi wote kuomba nafasi hizo kama zilivyoorodheshwa hapa chini.
DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II). NAFASI MBILI (02)
SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe amehitimu na kufaulu kidato cha nne au sita
- Awe na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua Mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali.
- Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji wa magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) au chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU YA DEREVA DARAJA LA II
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
- Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi.
- Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari.
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali.
- Kujaza na kutunza tarifa za safari zote katika daftari la safari.
- Kufanya usafi wa gari; na
- Kutekeleza majukumu mengine atakayokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Mshahara: Ngazi ya mishahara ya Serikali ya TGS B kwa mwezi.
MASHARTI YA JUMLA:
- Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45.
- Awe raia wa Tanzania.
- Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, vyeti vya kidato cha IV au VI, cheti cha kuzaliwa na picha moja ya rangi katika barua ya maombi, pamoja na nakala ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)
- Aambatanishe maelezo binafsi (CV) yenye anuani na namba za simu zilizosajiliwa kwa majina yake kamili, ikiwa ni pamoja na wadhamini wawili na anuani zao kamili.
- Aambatanishe picha mbili “Passport size” za hivi karibuni na kuandika majina yake.
Uwasilishwaji wa tarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria Watakaofaulu kuitwa kwenye usaili, majina yao yatawekwa kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Kibaha yaani: www.kibahade.go.tz
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07 Juni 2023 saa 9:30 Alasiri
Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 30153
KIBAHA.
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Leo May 2023, Kibaha DC address,Nafasi za kazi halmashauri ya Kisarawe,Nafasi za kazi Chalinze,Shule za sekondari halmashauri ya mji kibaha,Ramani ya wilaya ya Kibaha,Kata za wilaya ya kibaha, https://kibahadc.go.tz, tangazo la nafasi za kazi,nafasi za kazi h/w kibaha,Kibaha District Council, https://kibahadc.go.tz, Nafasi za Kazi Halmashauri Wilaya ya Kibaha | Jobs vacancies & careers,Nafasi za Kazi Halmashauri Wilaya ya Kibaha | Jobs vacancies & careers.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: https://kibahadc.go.tz, Kata za wilaya ya kibaha, Kibaha DC address, Kibaha District Council, Nafasi za kazi Chalinze, nafasi za kazi h/w kibaha, Nafasi za Kazi Halmashauri Wilaya ya Kibaha | Jobs vacancies & careers, Nafasi za kazi halmashauri ya Kisarawe, NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Leo May 2023, Ramani ya wilaya ya Kibaha, Shule za sekondari halmashauri ya mji kibaha, tangazo la nafasi za kazi