Nijuze Habari App

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023

Filed in Ajira, New by on 12/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023, Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023,tangazo la nafasi za kazi halmashauri za Wilaya Tanzania, Nafasi za kazi Halmashauri za wilaya Miji na Majiji,Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania,Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023/2024,USAILI HALMASHAURI mbalimbali,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2023.

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023,Job Vacancies at Various Halmashauri 2023,Nafasi za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Songwe kuomba nafasi zifuatazo.

MTENDAJI WA KIJIJI – NAFASI MBILI (2)

👉SIFA

  • Awe na Elimu ya Kidato IV-VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada / Cheti katika moja ya Fani zifuatazo:

Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo chochote kinachotambulika na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU

  • Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
  • Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala bora katika Kijiji.
  • Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya Kijiji.
  • Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
  • Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza Mikakati ya kuondoa njaa, Umasikini na kuongeza uzalishaji mali.
  • Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalamu katika Kijiji.
  • Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
  • Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji.
  • Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya Wananchi.
  • Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Kijiji.

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023, Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023,tangazo la nafasi za kazi halmashauri za Wilaya Tanzania, Nafasi za kazi Halmashauri za wilaya Miji na Majiji,Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania,Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023/2024,USAILI HALMASHAURI mbalimbali,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2023.NGAZI YA MSHAHARA – TGS B
MASHARTI YA UJUMLA

  • Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
  • Mwombaji aambatanishe Cheti cha kuzaliwa.
  • Mwombaji aambatanishe maelezo yake binafsi yaliyojitosheleza (CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika pamoja na namba zao za simu.
  • Maombi yaambatanishwe na picha moja (Passport size) ya hivi karibuni na iandikwe jina kwa nyuma.
  • Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu na taaluma kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
  • Testimonials, Provisional results, Statement of results hazikubaliki.
  • Waombaji wote ambao wamesoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimefanyiwa ulinganishi na TCU na NACTE.
  • Waombaji wote watapaswa kuangalia mara kwa mara kwenye tovuti ya Halmashauri kwani wale watakaoitwa kwenye mchujo wa awali majina yatawekwa hapo.
  • Maombi yote yatumwe kama njia ya Posta kwa anuani ifautavyo.

Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
S.L.P 77
MKWAJUNI-SONGWE
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 23/06/2023 saa 9.30 Alasiri.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023, Job Vacancies at Various Halmashauri 2023

NAFASI za Kazi kutoka Halmashauri Mbalimbali Nchini Leo June 2023, Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023,tangazo la nafasi za kazi halmashauri za Wilaya Tanzania, Nafasi za kazi Halmashauri za wilaya Miji na Majiji,Nafasi za kazi Halmashauri za Tanzania,Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2023/2024,USAILI HALMASHAURI mbalimbali,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *