Nijuze Habari App

NAFASI za Kazi Manispaa ya Kigamboni Leo June 2023

Filed in New, Ajira by on 21/06/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi Manispaa ya Kigamboni Leo June 2023

NAFASI za Kazi Manispaa ya Kigamboni Leo June 2023,Job Vacancies at Kigamboni Municipal Council 2023 Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kuhusu Ajira mpya katika mwaka wa fedha 2022/2023 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01″ TEMP”/06 cha tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Wananchi wote, raia wa Tanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini:-

1. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (NAFASI 2)

A: Sifa za mwombaji:-

 • Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Stashahada au NTA level 6 katika mojawapo ya fani zifuatazo Utunzaji wa Kumbukumbu, Urasmu Ramanl (Cartography) au (Geoinformatics) Sheria au Kumbukumbu za Afya kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye ujuzi wa kompyuta

B: Majukumu ya kazi:

 • Kuorodhesha barua zinazoingia masjala kwenye rejista (Incoming correspondence register)
 • Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi kwenye rejista (Outgoing correspondence register).
  SKRE
 • Kusambaza majalada kwa watendaji (action officers).
 • Kupokea majalada yanayorudi masjala kutoka kwa watendaji.
 • Kutafuta kumbukumbu /nyaraka/majalada yanayohitajika na watendaji.
 • Kurudisha majalada kwenye shubaka/kabati la (racks/fillingcabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
 • Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (File tracking)

C: MASHARTI YA AJIRA:

Ajira ya kudumu
Kwa kuzingatia Ngazi ya mshahara ya Serikali yaani TGS C1 kwa mwezi.

NAFASI za Kazi Manispaa ya Kigamboni Leo June 2023, Nafasi za kazi Halmashauri ya Kigamboni | Tanzania Jobs 2023,Kigamboni Municipal Council (MC),HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI,tangazo la kazi bodi ya ajira manispaa ya kigamboni,Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni,Shule za sekondari wilaya ya Kigamboni,Anuani manispaa ya kigamboni,Manispaa ya Kigamboni address,Majina ya mitaa ya kigamboni,Mkurugenzi manispaa ya kigamboni, Mkuu wa wilaya ya kigamboni 2023.2. Mwandishi mwendesha Ofisi Daraja la II (NAFASI 3)

A: Sifa za mwombaji

 • Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 cha uhazili.
 • Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powerpoint, Internet, E- mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

B: Majukumu ya Kazi

 • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri.
 • Kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
 • Kutunza taarifa na kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine.
 • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi.
 • Kupokea majalada na kusambaza Idara/Kitengo/Sehemu kwa Maofisa
  walio katika husika.
 • Kukusanya, kutunza na
  kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika.
 • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali, na
 • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.

C: MASHARTI YA AJIRA:

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Ajira ya kudumu
Kwa kuzingatia Ngazi ya mshahara ya Serikali yaan TGS C, kwa mwezi.

3. MASHARTI KWA UJUMLA:

 • Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni.
 • Mwombaji awe na Umri usiopungua miaka 18 na awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai, kufungwa jela na kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
 • Waombaji waambatishe maelezo yao binafsi (CV).
 • Maombi yote yaambatane na nakala ya vyeti vya taaluma. vyeti vya kidato cha nne IV au VI, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina nyuma.
 • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa nakufanyiwa ulinganishi na Mamlaka husika TCU, NACTE na NECTA na taarifa ya uhakiki iambatishwe kwenye maombi.
 • Testimonials, provisional results, Statement of Results hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV and FORM VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
 • Uwasilishwaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
 • Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 28/06/2023 saa 9:30 alasiri

Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi wa Manispaa,
Halmashauri ya Manispaa Kigamboni,
S.L.P. 36009,
KIGAMBONI – DAR ES SALAAM.

NAFASI za Kazi Manispaa ya Kigamboni Leo June 2023, Nafasi za kazi Halmashauri ya Kigamboni | Tanzania Jobs 2023,Kigamboni Municipal Council (MC),HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI,tangazo la kazi bodi ya ajira manispaa ya kigamboni,Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni,Shule za sekondari wilaya ya Kigamboni,Anuani manispaa ya kigamboni,Manispaa ya Kigamboni address,Majina ya mitaa ya kigamboni,Mkurugenzi manispaa ya kigamboni, Mkuu wa wilaya ya kigamboni 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *