Nijuze Habari App

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023

Filed in Ajira, New by on 16/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023,Muongozo Mpya Wa Kuomba Kazi Serikalini,Ajira Mpya Wizara ya Ardhi June 2023,Job Vacancies Wizara ya Ardhi June 2023,Job Vacancies at Wizara Ya Ardhi Tanzania 2023,Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Kamishna wa ardhi dar es salaamWizara ya ardhi dodoma address,Wizara ya ardhi hati za viwanja,Wizara ya Ardhi Tanzania website,Nafasi za kazi wizara ya ardhi 2023,Wizara ya Ardhi contacts.

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023,Job Vacancies at Wizara ya Ardhi Tanzania 2023,Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawatangazia nafasi 66 za Ajira za ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la III kwa mikataba ya muda mfupi (Temporary Employment) kwenye Ofisi za Baraza ya Ardhi na Nyumba katika Wilaya ya Babati, Bagamoyo, Bukoba, Busega, Chato, Ifakara, Kahama, Karagwe, Karatu, Kasulu, Kibondo, Kigamboni, Kigoma, Kilindi, Kilosa, Kilwa, Kisarawe, Kishapu, Kiteto, Kongwa, Kyela, Kyerwa, Lindi, Liwale, Ludewa, Hanang’, Makete, Manyoni, Masasi, Maswa, Mbarali, Mbeya, Mbinga, Mbogwe, Mbulu, Mkuranga, Mlele, Morogoro, Mpanda, Mpwapwa, Muleba, Mwanga, Mwanza, Nachingwea, Ngara, Ngorongoro, Njombe, Nkasi, Rombo, Ruangwa, Same, Sengerema, Serengeti, Simanjiro, Songea, Songwe, Tabora, Meatu, Tarime, Tunduru, Ukerewe, Ulanga, Wanging’ombe, Muheza, Mkalama na Hai.

SIFA ZA WAOMBAJI:

  • Awe Mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45;
  • Mkazi wa Wilaya ambayo kuna nafasi ya kazi atapewa kipaumbele;
  • Mwenye sifa na uzoefu wa kazi hii atapewa kipaumbele; na
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi pasipo kuhitaji usimamizi wa karibu. (Be able to work under minimum supervision).

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023,Muongozo Mpya Wa Kuomba Kazi Serikalini,Ajira Mpya Wizara ya Ardhi June 2023,Job Vacancies Wizara ya Ardhi June 2023,Job Vacancies at Wizara Ya Ardhi Tanzania 2023,Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Kamishna wa ardhi dar es salaamWizara ya ardhi dodoma address,Wizara ya ardhi hati za viwanja,Wizara ya Ardhi Tanzania website,Nafasi za kazi wizara ya ardhi 2023,Wizara ya Ardhi contacts.SIFA ZA KITAALUMA

  • Awe amehitimu kidato cha IV na kufaulu;
  • Awe na Astashahada au cheti cha NTA Level 5 ya Uhazili kutoka kwenye Chuo cha Utumishi wa Umma (Tanzania Public Service College) au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali; na
  • Awe amefaulu mtihani wa somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 80 kwa dakika moja na kupata mafunzo ya program za kompyuta za ofisi kama
    vile Word, Excel, Power Point, Internet, Email na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti.

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka mbalimbali za Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya zikiwemo hukumu, mienendo ya mashauri na barua;
  • Kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa;
  • Kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za kazi za msimamizi wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anapofanyia kazi na kumuarifu msimamizi wake kwa wakati unaohitajika;
  • Kuhudumia na kusimamia shughuli za uendeshaji wa Ofisi za Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya;
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa Ofisi za Baraza zinakuwa safi na nadhifu wakati wote;
  • Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
    na Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake kwa mujibu wa Miongozo mbalimbali ya Utumishi wa Umma.

NGAZI YA MSHAHARA

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
  • Atakayefaulu na kuajiriwa atalipwa mshahara katika ngazi ya TGS B1 kwa viwango vya mshahara inayolipwa na Serikali
    Masharti ya Jumla.
  • Mwombaji awasilishe maombi katika Ofisi za Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya husika;
  • Maombi yote yaambatishwe na maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV), namba za simu na anuani sahihi;
  • Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, kidato cha IV au VI, cheti cha kuzaliwa na picha mbili (2) za passport size za hivi karibuni na ziandikwe jina kwa nyuma;
  • Hati za matokeo ya kidato cha IV, au Chuo (Testmonial/provisional results) HAVITAKUBALIWA;
  • Wale ambao mikataba yao inaishia tarehe 30 Juni, 2023 wanaruhusiwa kuomba;
  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 23 Juni, 2023 saa 9:30 Alasiri.

Utaratibu wa maombi yaelekezwe kwa anuani ifuatayo;
Katibu Mkuu,
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, S. L. P 2908,
40477 DODOMA.

NAFASI za Kazi Mbalimbali Kutoka Wizara ya Ardhi Tanzania Leo June 2023,Muongozo Mpya Wa Kuomba Kazi Serikalini,Ajira Mpya Wizara ya Ardhi June 2023,Job Vacancies Wizara ya Ardhi June 2023,Job Vacancies at Wizara Ya Ardhi Tanzania 2023,Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Kamishna wa ardhi dar es salaamWizara ya ardhi dodoma address,Wizara ya ardhi hati za viwanja,Wizara ya Ardhi Tanzania website,Nafasi za kazi wizara ya ardhi 2023,Wizara ya Ardhi contacts.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *