NAFASI Za Kazi Mbinga District Council Leo November 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI Za Kazi Mbinga District Council Leo November 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi moja ifuatayo:-
MTENDAJI WA KIJIJI III: NAFASI 01
SIFA ZA MWOMBAJI:
Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI III:
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
- Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
- Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamzi wa Utawala Bora katika Kijiji.
- Kuratibu na kusimamia upangaji wa Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
- Katibu wa Mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji. Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
- Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa Kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
- Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
- Kusimamia, kukusanya na kihifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji.
- Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji.
- Kupokea, Kusikiliza na Kutatua malalamiko na migogoro ya Wananchi.
- Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji na - Atawajibika Kwa Mtendaji wa Kata.
MSHAHARA:
Cheo cha Mtendaji wa Kijiji III kina mshahara wa TGS B kwa mwezi.
MASHARTI YA JUMLA:
- Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
- Mwombaji aambatanishe cheti cha kuzaliwa.
- Mwombaji ambaye ni mtumishi wa Umma apitishe maombi yake kwa mwajiri wake.
- Mwombaji aambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika pamoja na namba zao za simu.
- Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya Elimu na Taaluma kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
“Testmonials”, “Provisional Results” “Statements of results” nk. Hazitakubalika. - Waombaji waweke picha moja katika barua zao za maombi.
- Waombaji wote ambao wamesoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vinafanyiwa ulinganishi na TCU na NECTA.
- NAFASI Mpya za Kazi Kutoka NBC Bank Leo November 2023
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 27/11/2023 saa 9:30 Alasili.
Barua zote zitumwe kwa anwani iliyopo hapo chini:-
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya,
Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga,
S.L.P. 194,
57483, Kigonsera, RUVUMA
DOWNLOAD PDF FILE JOB AT MBINGA DISTRICT COUNCIL
Mbinga district council address,Namtumbo District Council,Vijiji vya wilaya ya mbinga, Halmashauri ya Wilaya Mbinga, Job Vacancies Mbinga District Council November 2023,New Government Job Vacancies Ruvuma at MBINGA District,Mbinga District Council Home.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Ajira halmashauri ya Mbinga, Background of MBINGA Town Council, Halmashauri ya Wilaya Mbinga, Historia ya mji wa mbinga, Job Vacancies Mbinga District Council November 2023, Kata za wilaya ya mbinga, Mbinga district council address, Mbinga District Council Home., Mbinga District profile, Mbinga ipo mkoa gani, NAFASI Za Kazi Mbinga District Council Leo November 2023, NAFASI ZA KAZI Ruvuma 2023, Nafasi za kazi Ruvuma Coal Limited, Namtumbo District Council, New Government Job Vacancies Ruvuma at MBINGA District, Structure of mbinga town council, Vijiji vya wilaya ya mbinga