NAFASI za Kazi RITA Tanzania Leo June 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI za Kazi RITA Tanzania Leo June 2023
NAFASI za Kazi RITA Tanzania Leo June 2023,Job Vacancies at RITA June 2023 RITA is responsible for the registration and management of information on key life events, incorporation of trustees, safeguarding properties under trust of deceased persons, insolvents, and minors to enable the law to take its course.
Job Vacancies at RITA June 2023
POST | REGISTRATION ASSISTANT II – 20 POST |
EMPLOYER | Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-06-18 2023-06-24 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.To register marriage, births, deaths and bond unions and keep their records;ii.To collect marriage, births, deaths and bond unions’ fees and keep records;
iii.To prepare marriage, births, and bond unions’ index for districts and regions; iv.To prepare advertisements for inheritance processes and arrangements to be advertised in the Government’s gazette; v.To maintain and keep court diary and remind the Government Lawyers on due dates for cases relating to inheritance issues; vi.To keep record of Governments’ gazettes and Acts Supplements; and vii.To direct citizens on how inheritance processes are conducted. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Holder of Ordinary Diploma in Law from a recognized institution. |
REMUNERATION | Attractive remuneration package |
CLICK HERE TO APPLY
DOWNLOAD PDF FILE HERE

Lengo
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) inakusudia katika utoaji wa habari nzuri na thabiti juu ya matukio muhimu maishani, uunganishaji wadhamini, utunzaji wa mali chini ya udhamini, za mtu aliyefariki, muflisi, na watoto walio chini ya umri wa utu uzima ili kuwezesha sheria kuchukua mkondo wake.
Usuli wa kihistoria
RITA ilizinduliwa rasmi tarehe 23 Juni 2006 na inachukua nafasi ya ile iliyoitwa Idara ya kabidhi Wasii Mkuu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wizara ya Katiba na Sheria. Ni Wakala chini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu katika Wizara ya Katiba na Sheria.
Historia ya RITA inaanzia nyuma mnamo mwaka 1917 wakati serikali ya kikoloni ya Ujerumani ilipotunga sheria ya usajili wa vizazi na vifo (Tangazo Na. 15 ya 1917 (Eneo la wananchi). Wakati Waingereza walipoichukua Tanganyika (Tanzania Bara) kutoka kwa Wajerumani waliutambua utaratibu wa usajili wa vizazi na vifo uliowekwa kwa sheria za Kijerumani kwa kutambua daftari chini ya Sheria ya Usajili wa Vizazi na Vifo, 1920 (sura ya 108).
Ikumbukwe kwamba chini ya mataifa yote mawili ya kikoloni usajili wa vizazi na vifo haukuwa wa lazima kwa Waafrika.
Kati ya mwaka 1920 na 1960 serikali ya kikoloni ya Kiingereza ilikuja na sheria zaidi kuhusu matukio muhimu ya kimaisha na masuala mengine. Sheria hizi ama zilisimamiwa kwa ujumla au kwa sehemu yake na ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu/Msajili Mkuu. Sheria hizi ni:-
- Sheria ya Ufilisi ya 1920 (sura ya 25).
- Sheria ya Usajili wa Nyaraka ya 1923 (sura ya 117).
- Sheria ya Ndoa ya 1921 (sura ya 109).
- Sheria ya Makampuni ya 1921 (sura ya 212).
- Sheria ya Kabidhi Wasii Mkuu ya 1921 (sura ya 27).
- Sheria ya Ardhi (Sheria ya Kumiliki na Kuhamisha) ya 1923 (sura ya 114).
- Sheria ya Ardhi (Kurithishana) ya 1927 (sura ya 119).
- Sheria ya Majina ya Biashara (Usajili)ya 1930 (sura ya 213).
- Sheria ya Mdhamini wa Umma ya 1930 (sura ya 31).
- Sheria ya Mpango wa Makubaliano ya 1930 (sura ya 26).
- Sheria ya hataza (usajili) ya 1931 (sura ya 217).
- Sheria ya Alama za biashara 1931 (sura ya 216).
- Sheria ya kuasili watoto ya 1952 (sura ya 335).
- Sheria ya Muunganisho wa wadhamini ya 1956 (sura ya 375).
- Sheria ya Uhamishaji mali (sura ya 210).
- Sheria ya Vyama vya Wafanyakazi (sura ya 381).
- Sheria ya Vyama vya Ushirika na Ujenzi ya 1954 (sura ya 340).
- Sheria ya Vyama vya Hiari 1954 (sura ya 337).
- Sheria ya Uthibitishaji Wasia na Usimamizi wa Mirathi, (sura ya 445).
- Sheria ya Usimamiaji wa mali za marehemu wazawa.
Wakati Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961 Wizara ya Sheria na Mambo ya Katiba ilianzishwa. Miongoni mwa Idara za Wizara ilikuwa Idara ya Msajili Mkuu na Idara ya Mtawala Mkuu. Kila moja ya idara hizi ilikuwa na Sheria zake za kuzisimamia:
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
(a) Ofisi ya Msajili Mkuu
-
- Sheria ya Usajili wa vizazi na vifo (sura ya 108).
- Sheria ya kuasili wtoto (sura ya 335).
- Muunganisho wa wadhamini (sura ya 375).
- Sheria ya Ndoa (sura ya 109).
- Sheria Usajili wa majina ya Biashara (sura ya 213).
- Sheria ya Alama za biashara (sura ya 394).
- Sheria ya Uhamishaji mali (sura ya 210).
- Sheria ya Mpango wa makubaliano (sura ya 26).
- Sheria ya Usajili wa Nyaraka (sura ya 117).
- Sheria ya Vyama vya wafanyakazi (sura ya 318).
- Sheria ya Usajili wa Ardhi (sura ya 334).
- Sheria ya Vyama vya Ujenzi (sura ya 340).
- Sheria ya Ardhi (kumiliki na kuhamisha) (sura ya 114).
- Sheria ya Vyama vya Hiari (sura ya 337).
(b) Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu
- Sheria ya uthibitishaj Wasia na Usimamizi wa Mirathi (Sura ya 445).
- Sheria ya Ufilisi (Sura ya 25).
- Sheria ya Kabidhi Wasii Mkuu (Sura ya 27).
- Sheria ya Usimamiaji wa mali za Marehemu Wazawa.
- Sheria ya Mdhamini wa umma (sura ya 31).
- Sheria ya Makampuni (sura ya 212).
Kufuatia mabadiliko kadhaa ya Sera ya serikali baada ya Azimio la Arusha na kutambuliwa kwa Wizara mbalimbali mnamo 1967, wizara ya Sheria ilivunjwa na Idara mbalimbali, zilizokuwa ndani ya wizara hiyo, zilihamishiwa kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kama Divisheni ambayo ilijulikana kama Divisheni ya Sheria. Idara mbili za Kabidhi Wasii Mkuu na Msajili Mkuu ziliunganishwa kuwa idara moja iliyojulikana kama idara ya Kabidhi Wasii Mkuu. Baadhi ya sheria zilizokuwa zinasimamiwa na ofisi ya Msajili Mkuu zilipelekwa katika:
1. Msajili wa Vyama vya Hiari(Wizara ya Mambo ya Ndani).
2. Msajili wa makampuni (Wizara ya Biashara na Viwanda).
- Sheria ya Makampuni (sura ya 212).
- Sheria ya usajili wa majina ya Biashara ( Sura ya 213).
- Sheria ya Alama za Biashara (Sura ya 394).
3. Msajili wa Miliki (Wizara ya Ardhi na Makazi).
- Sheria ya Usajili wa Ardhi (Sura ya 334).
- Sheria ya Uhamishaji mali (Sura ya 210).
- Sheria ya Usajili wa Nyaraka (Sura ya 117).
- Sheria ya Ardhi (Umiliki na Uhamishaji) (Sura ya 114).
Idara ya Kabidhi Wasii Mkuu ilipewa majukumu yanayoonyeshwa katika sheria ambayo yameorodheshwa hapa chini:
- Sheria ya Usajili wa Vizazi na Vifo (Sura ya 108).
- Sheria ya Kuasili Watoto (Sura ya 335).
- Sheria ya Muunganisho Wadhamini (Sura ya 375).
- Sheria ya Mdhamini wa Umma (Sura ya 31).
- Sheria ya Kabidhi Wasii Mkuu (Sura ya 27).
- Sheria ya Usimamiaji Miradhi (Sura ya 445).
- Sheria ya Ndoa (Sura ya 109)Â ambayo baadaye ilifutwa na kutungwa mpya,
Sheria ya Ndoa, Na. 5 ya 1971, sheria ambayo iliunganisha maswala ya ndoa katika sheria moja.
RITA imeundwa kuchukua majukumu ambayo yalikuwa yakifanywa na Idara ya Kabidhi Wasii Mkuu. Majukumu hayo yapo kwenye Sheria zifuatazo:
- Sheria ya Usajili wa vizazi na vifo, Sura ya 29 toleo la 2002.
- Sheria ya Kuasili Watoto, Sura ya 335 toleo la 2002.
- Sheria ya Muundo wa Wadhamini, Sura ya 318 toleo la 2002.
- Sheria ya Mdhamini wa Umma, Sura ya 31 toleo la 2002.
- Sheria ya Kabidhi Wasii Mkuu (Mamlaka na wajibu) Sura ya 27 toleo la 2002.
- Sheria ya Uthibitishaji Wasia na Usimamizi wa Mirathi, Sura ya 445 toleo la 2002.
- Sheria ya Ufilisi, Sura ya 25 toleo la 2002.
- Sheria ya Ndoa, Sura ya 29 toleo la 2002.
Wakala una wafanyakazi 132. RITA makao makuu wafanyakazi 93 na kwenye ofisi za wilayani wafanyakazi 39. Wakala una ofisi zake wilayani, lakini zaidi hutegemea na kushirikiana na mamlaka za wilaya na mikoa ili kuendesha shughuli zake vizuri.
Wakala unahodhi shughuli za usajili wa vizazi, vifo, ndoa talaka na miungano ya wadhamini. Kutokana na uchumi huria shughuli za wakala zinazohusu upokeaji na ufilisi wa Kampuni zinaelekea kuhuishwa kutoka katika kukwama wakati wa miaka ya kipindi cha Azimio la Arusha.
NAFASI za Kazi RITA Tanzania Leo June 2023,NAFASI za Kazi RITA,Job Vacancies at RITA June 2023,Registration Insolvency and Trusteeship Agency – RITA,Nafasi za kazi RITA – Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA).

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Job Vacancies at RITA June 2023, NAFASI za Kazi RITA, Nafasi za kazi RITA - Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA)., NAFASI za Kazi RITA Tanzania Leo June 2023, Registration Insolvency and Trusteeship Agency - RITA