Nijuze Habari App

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023

Filed in Ajira, New by on 04/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023, NEC Ajira za wasimamizi wa kituo/Vituo cha kupiga kura July 2023,New Job Vacancies at Tume ya Taifa ya Uchaguzi July 2023,Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania,New Jobs at Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania 2023,Nafasi za kazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi | National Electoral,Tume ya taifa ya uchaguzi ilianzishwa mwaka gani,Tume ya taifa ya uchaguzi in english,Tume ya taifa ya uchaguzi kadi ya mpiga kura,NEC Tanzania address,NEC tanzania Ajira July 2023,Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi.

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023,Job Vacancies at National Electoral Commission (NEC) July 2023 The National Electoral Commission Tume Ya taifa ya Uchaguzi (NEC) is an autonomous government institution. It was established in 1993 under Article 74(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977.

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Korogwe Vijijini kwa kuzingatia kanuni ya 12 na 13 za Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Vituo vya Kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo utakaofanyika tarehe 13 Julai, 2023 katika Kata ya Kwashemshi kama ifuatavyo:-

1.Msimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura (Nafasi 17).

2:Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura (Nafasi 30).

3:Karani Mwongozaji Wapiga Kura (Nafasi 17).

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023, NEC Ajira za wasimamizi wa kituo/Vituo cha kupiga kura July 2023,New Job Vacancies at Tume ya Taifa ya Uchaguzi July 2023,Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania,New Jobs at Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania 2023,Nafasi za kazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi | National Electoral,Tume ya taifa ya uchaguzi ilianzishwa mwaka gani,Tume ya taifa ya uchaguzi in english,Tume ya taifa ya uchaguzi kadi ya mpiga kura,NEC Tanzania address,NEC tanzania Ajira July 2023,Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi.SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA MSIMAMIZI AU MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA

 • awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
 • asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa;
 • awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
 • awe amemaliza elimu ya kidato cha nne (4) au zaidi na anaweza kusoma na kuandika vizuri. Pia, anayeweza kusoma na kuelewa kitabu cha Maelekezo ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia kura; na
 • ikiwezekana awe mkazi wa kata ambayo anaomba kufanya kazi.

SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA KARANI MWONGOZAJI WA WAPIGA KURA

 • awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
 • awe mkazi wa kata ambayo atafanyia kazi ya kuongoza wapiga kura;
 • ikiwezekana awe mpiga kura wa kituo atakachofanyia kazi;
 • awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
 • awe na elimu isiyopungua kidato cha nne na anayeweza kusoma na kuelewa kitabu cha Maelekezo kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura; na
 • asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa.

MALIPO

Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-

 • Siku ya Uchaguzi Msimamizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 60,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Shilingi 10,000 kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000.
 • Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 50,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Shilingi 10,000 kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000;
 • Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Shilingi 50,000 kwa siku moja na posho ya chakula Shilingi 10,000.

Wakati wa mafunzo watendaji wote watalipwa posho ya Shilingi 50,000 na nauli Shillingi 20,000 kwa kila siku ya mafunzo.

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023 Donwload PDF

MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
 • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili.
 • Maombi yote yaambatishwe na vyeti vya taaluma, nakala ya vyeti vya kidato cha nne, kidato cha sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa alizonazo kwa mujibu wa Tangazo hili.
 • Waombaji waambatishe picha mbili zenye ukubwa sawa na picha iliyopo kwenye pasi ya kusafiria (Passport size) za hivi karibuni.
 • Waombaji ambao ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya
  nafasi za kazi kwa waajiri wao.
 • Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria endapo watabainika.

Mwisho wa kutuma na kupokea maombi ya kazi ni tarehe 05 Julai, 2023.

Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni:-
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la Korogwe Vijijini
S. L. P 584

NAFASI za Kazi TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC July 2023, NEC Ajira za wasimamizi wa kituo/Vituo cha kupiga kura July 2023,New Job Vacancies at Tume ya Taifa ya Uchaguzi July 2023,Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania,New Jobs at Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania 2023,Nafasi za kazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi | National Electoral,Tume ya taifa ya uchaguzi ilianzishwa mwaka gani,Tume ya taifa ya uchaguzi in english,Tume ya taifa ya uchaguzi kadi ya mpiga kura,NEC Tanzania address,NEC tanzania Ajira July 2023,Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *