Nijuze Habari App

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023

Filed in Ajira, Michezo, New by on 20/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023, Nafasi za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT, jkt.go.tz https://www.jkt.go.tz, Jeshi la Kujenga Taifa,Wasiliana Nasi | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Nifanyeje kujiunga na JTZ?, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Waziri wa ulinzi tanzania 2023,Cv ya waziri wa ulinzi,Naibu waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa,www.jkt.go.tz 2023,Sifa za kujiunga na jeshi la kujenga taifa,Waziri wa ulinzi anaitwa nani.

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023, Job Vacancies at JKT Tanzania 2023 National Service was established on 10th July 1963 emanating from the ideas of the Father of the Nation, the late President Julius K Nyerere who once said ” National Service is the demand made by the Nation on youth and youth response in fulfilling their duty in building the Nation”Job Vacancies at JKT Tanzania 2023,Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

JINSI ya Kujiunga na JKT

DOWNLOAD PDF FILE HERE

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023, Nafasi za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT, jkt.go.tz https://www.jkt.go.tz, Jeshi la Kujenga Taifa,Wasiliana Nasi | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Nifanyeje kujiunga na JTZ?, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Waziri wa ulinzi tanzania 2023,Cv ya waziri wa ulinzi,Naibu waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa,www.jkt.go.tz 2023,Sifa za kujiunga na jeshi la kujenga taifa,Waziri wa ulinzi anaitwa nani.Historia Ya Jeshi La Kujenga Taifa

Miaka 51 iliyopita, yaani tarehe 10 Julai 1963 Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa rasmi kufuatia utekelezaji wa Azimio la Kikao cha Baraza la Mawaziri. Kikao hicho kilifanyika tarehe 19 Aprili, 1963 chini ya uongozi wa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanganyika hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Wazo la kuanzishwa kwa JKT lilitokana na mapendekezo ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Tanganyika African National Union (TANU Youth League), Mkutano uliofanyika mkoani Tabora mwaka 1958 ambalo lilitolewa na Katibu Mkuu wa TANU Youth League wakati huo Ndugu Julius Nyerere, ambaye sasa ni marehemu.

Sheria Iliyoanzisha JKT

Jeshi la Kujenga Taifa lipo kisheria, kwa vile ilipofika mwaka 1964, Bunge lilitunga Sheria ya kuanzishwa kwa JKT na sheria hiyo iliupa nguvu ya kisheria uamuzi wa mwaka 1963 wa Baraza la Mawaziri wa kuanzishwa kwa Jeshi hilo.

Kwa mujibu wa Sheria ile, kujiunga na JKT ilikuwa jambo la kujitolea. Mwaka 1966 sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuanzisha utaratibu wa kujiunga JKT kwa mujibu wa Sheria.

Utaratibu huu uliwahusu vijana waliohitimu vyuo vikuu, vyuo vya elimu ya juu, kidato cha sita na waliomaliza kidato cha nne ambao wamepata mafunzo kwenye vyuo vya taaluma mbalimbali kama vile ualimu, uganga, uuguzi na kadhalika.

Mkurugenzi wa JKT aliwezeshwa kisheria kuwaita vijana hao kujiunga na JKT.Mwezi Julai 1967, kikundi cha kwanza cha vijana wasomi 64 kilijiunga na JKT katika Operesheni Azimio.

Katika kuunga mkono uamuzi wa Serikali kuhusu kuanzishwa kwa Jeshi la Kujenga Taifa, viongozi na wasomi wengine waliohitimu zamani waliamua kujiunga na mafunzo ya JKT. Kwa mfano aliyekuwa Makamu wa Pili wa Rais Mheshimiwa Rashid Kawawa, aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mheshimiwa Aboud Jumbe, aliyekuwa Spika wa Bunge Chifu Adam Sapi Mkwawa pamoja na baadhi ya Wabunge na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali walijiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa mwezi Januari, 1968 na walifanya mafunzo yao katika kambi ya Ruvu iliyoko Mkoa wa Pwani.

Ili kuweka misingi bora na usimamizi bora wa uongozi, Jeshi la Kujenga Taifa lilikuwa ni Jeshi kamili kwahiyo ilipofika mwaka 1975 JKT iliunganishwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania na hivyo kuwa sehemu kamili ya JWTZ.

Kuanzia wakati ule Maafisa na Askari wa JKT wakawa ni wanajeshi wa JWTZ na kutambulika kwa vyeo vya JWTZ. Kabla ya hapo JKT ilikuwa na vyeo vyake vilivyokuwa tofauti na vyeo vya JWTZ. Jeshi la Kujenga Taifa liliendelea na majukumu yake ya kutoa mafunzo kwa vijana wa kujitolea kwa mujibu wa sheria. Hata hivyo, mambo mawili ya msingi yalisisitizwa au kuongezwa katika majukumu ya JKT, kwanza JKT kuwa Divisheni ya uzalishaji ya JWTZ yenye dhamana ya kulipatia Jeshi mahitaji yake ya chakula, mavazi na mengineyo. Pili JKT ndipo mahali pa kutolea mafunzo ya awali ya kijeshi na kwamba JWTZ litaendelea kuajiri kutoka wahitimu wa JKT.

Katika dhamira ya kutimiza wajibu wa kwanza kwa ufanisi mwaka 1982 Shirika la Uzalishaji Mali la JKT (SUMA JKT) liliundwa. Shabaha kuu ilikuwa ni kuwa na chombo madhubuti cha kupanga, kusimamia, kuratibu na kutekeleza majukumu ya uzalishaji mali na kiuchumi katika JKT kazi ambayo shirika linaendelea kuifanya hadi sasa.

Kwa upande wa mafunzo kwa vijana, kwa mfano, zaidi ya vijana 305,625 wamepitia JKT na kupatiwa mafunzo ya kijeshi na stadi mbalimbali za maisha katika fani na nyanja mbalimbali. Miaka ya tisini hali ya utoaji wa mafunzo kwa vijana katika JKT iliathirika. Upatikanaji wa huduma na mahitaji kwa ajili ya mafunzo na uwezo wa kuendesha kambi za JKT kwa jumla ukawa mgumu.

Kuyumba kwa uchumi duniani, kulipelekea kupanda sana kwa bei ya mafuta, kuanguka kwa bei za mazao yaliyokuwa yanazalishwa hapa Tanzania na gharama kubwa ya vita dhidi ya majeshi ya Nduli Idi Amin wa Uganda ndivyo vilivyosababisha uchumi wa nchi yetu kutetereka. Hali hii ilipunguza sana uwezo wa Serikali kutimiza majukumu yake ya msingi katika sekta mbalimbali nchini.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

NAFASI za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Leo June 2023, Nafasi za kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT, jkt.go.tz https://www.jkt.go.tz, Jeshi la Kujenga Taifa,Wasiliana Nasi | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Nifanyeje kujiunga na JTZ?, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Waziri wa ulinzi tanzania 2023,Cv ya waziri wa ulinzi,Naibu waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa,www.jkt.go.tz 2023,Sifa za kujiunga na jeshi la kujenga taifa,Waziri wa ulinzi anaitwa nani.

Kurejeshwa kwa Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa sheria

Kurejeshwa kwa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria ilikuwa ni moja ya mambo yaliyopewa kipaumbele cha juu katika awamu ya nne ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Serikali ya awamu ya nne imerudisha mafunzo ya JKT kwa sababu ya nia njema ya kuendelea kujenga uzalendo kwa vijana wa Tanzania. Itakumbukwa kwamba kutokana na hali ngumu ya kiuchumi serikali ilishindwa kumudu kuendesha mafunzo ya JKT kwa mujibu. Mnamo Juni 15, 1994 mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria yalisitishwa kwa muda.

Jeshi la Kujenga Taifa limefanya kazi kubwa na nzuri ya kujenga moyo wa utaifa na uzalendo miongoni mwa vijana waliopitia katika Jeshi hilo. Hapa ni mahali ambapo vijana wa itikadi zote, rangi zote, makabila yote, dini zote hukutana, kuishi pamoja na kufanya mafunzo na kazi kama ndugu wa familia moja.

Hakuna chombo chochote cha malezi ya vijana kilichoizidi JKT katika kazi hiyo, pengine hata ile tabia ya Watanzania wengi kutoulizana makabila yao inatokana na uwepo wa JKT. Vijana wazalendo wa Tanzania wanaopitia JKT huwa wanakutana na vijana mbalimbali kutoka kila kona ya nchi yetu, ndiyo maana hawana muda hata wa kuulizana makabila kwa vile wote hujiona ni wamoja.

Aidha, athari za kusimamishwa kwa mafunzo ya JKT kuliwagusa wengi na ndiyo maana Serikali ya awamu ya nne imerejesha mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Hatimaye tarehe 26 Machi 2013 mafunzo ya JKT yalianza ikiwa ni pamoja na kutimiza ahadi ya serikali ya kufufua upya mafunzo hayo katika kambi ya Ruvu.

Kama ilivyokuwa mwaka 1964 JKT ilipoanza na mwaka 1968 baada ya mafunzo ya mujibu wa Sheria kuanzishwa viongozi wa kitaifa waliongoza katika kushiriki mafunzo hayo. Mafunzo hayo ya JKT yalianza na kulikuwa na idadi ya wabunge 22 ambao walishiriki na kumaliza mafunzo ya uongozi. Wabunge hao walitawanywa katika kambi mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya muda wa miezi miwili waliyoomba wenyewe kwa ajili ya kupata mafunzo ambayo wanaamini yatawajengea uzalendo zaidi kwa taifa lao.

WABUNGE WALIOFANYA MAFUNZO YA JKT.

Wafuatao walifanikiwa kupitia Mafunzo ya JKT baada ya kurejeshwa.

Kambi ya JKT Ruvu wabunge tisa walihitimu akiwemo

1.Mhe. Mendrad Lutengano Kigola (MB).               (Kambi RUVU)

2.Mhe. David Ernest Silinde (MB).                          (Kambi RUVU)

3.Mhe. Easter Amos Bulaya (MB).                          (Kambi RUVU)

4.Mhe. Murtaza Mangungu (MB).                            (Kambi RUVU)

5.Mhe. Yusuph Haji Khamis (MB).                          (Kambi RUVU)

6.Mhe. Neema Mgaya Hamis (MB).                         (Kambi RUVU)

7.Mhe. Halima James Mdee (MB).                           (Kambi RUVU)

8.Mhe. Livingstone John Lusinde (MB).                 (Kambi RUVU)

9.Mhe. Said Mohamed Mtanda (MB).                       (Kambi RUVU)

10.Mhe Sabreena Sungura (MB).                             (Kambi BUROMBORA)

11.Mhe Seleman Said Jafo (MB).                             (Kambi BUROMBORA)

12.Mhe Mariam Kasembe (MB).                               (Kambi BUROMBORA)

13.Mhe Mariam Salum Msabaha (MB).                    (Kambi BUROMBORA)

14.Mhe Yahaya Kasim Issa (MB).                             (Kambi BUROMBORA)

15.Mhe Zitto Z. Kabwe (MB).                                     (Kambi MGAMBO)

16.Mhe Raya Khamis (MB).                                       (Kambi MGAMBO)

17.Mhe Dr. Anthony G. Mbassa (MB).                      (Kambi MGAMBO)           

18.Mhe Idd Azzan (MB).                                             (Kambi MGAMBO)

19.Mhe Abdallah Hajji Alli (MB).                                (Kambi MGAMBO)

20.Mhe Meshack Mfukwa(MB).                                  (Kambi MSANGE)

21.Mhe Rita Kabati(MB).                                             (Kambi MSANGE)

22.Mhe Mwigulu Lameck Nchemba.(MB).                 (Kambi MSANGE)

WAKUU WA JKT

        Wafuatao ni wakuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1963.

 1. ASP David Nkulila                                         –       (1963-1967)
 2. ASP Robert Kaswende                                 –       (1967-1970)
 3. ASP Laurence Gama                                    –       (1970-1973)
 4. Meja Jenerali Nelson Mkisi                          –       (1973-1989)
 5. Meja Jenerali Makame Rashidi                    –       (1989-2001)
 6. Meja Jenerali Davis Mwamunyange            –       (2001-2006)
 7. Meja Jenerali Abdulrahman Shimbo           –       (2006-2007)
 8. Meja Jenerali Martin Madata                        –       (2007-2008)
 9. Meja Jenerali Samwel Kitundu                    –       (2008-2012)
 10. Luteni Jenerali Samweli Ndomba               –       (2012-2012)
 11. Meja Jenerali Raphael Muhuga                   –       (2012-2016)
 12. Meja Jenerali Michael Isamuhyo                 –       (2016-2019)
 13. Meja Jenerali Martin Busungu                    –        (2018-2019)
 14. Brigedia Jenerali Charles Mbuge               –        (2019-2021) 
 15. Meja Jenerali Rajabu Mabele                      –        (2021-Hadi sasa)

 

 

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *