Nijuze Habari App

NAFASI za Kazi ya Udereva wa BUS (PSV) Leo July 2023

Filed in New, Ajira by on 25/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi ya Udereva wa BUS (PSV) Leo July 2023

NAFASI za Kazi ya Udereva wa BUS (PSV) Leo July 2023, NEW FORCE ENTERPRISES LTD ni kampuni inayohusika na usafirishaji abiria kwa njia ya Barabara mikoa ya ukanda wa nyanda za juu Kusini.

NEW FORCE ENTERPRISES LTD inahitaji Madereva wenye Weredi, Uzoefu na Uadilifu wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani ya nchi.

Waombaji wa nafasi hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo;

  • Leseni daraja C
    Cheti cha mafunzo ya udereva kutoka chuo kinachotambulika na serikali.
  • Awe amesajiliwa na kuthibitishwa na Latra
  • Nakala ya kitambulisho cha NIDA
    .Picha 6 za rangi (Passport size photos)
  • Barua za wadhamini wawili zenye picha zao na anuani ya makazi.
  • Barua ya serikali ya Mtaa unapoishi ikiwa na nambaya simu ya kiongozi wa serikali ya mtaa aliekupa barua.
  • CV
  • Umri kuanzia miaka 40.

MAOMBI YOTE YAELEKEZWE KWA
MENEJA
NEW FORCE ENTERPRISES LTD
PLOT NO. 3 UBUNGO BUSNESS PARK
S.L.P 55166
DAR ES SALAAM

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 31-07-2023

Zingatio Muhimu

  • Watakaochaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato zaidi
  • Epuka kutapeliwa fedha, mchakato wa ajira ni wa uwazi na unaoshirikisha taasisi za nje.

NAFASI za Kazi ya Udereva wa BUS (PSV) Leo July 2023, New Force booking Office,New Force Office,new force mbeya to dar,new force mpya,new forcec ontacts, Newforcebus.co.tz, Newforcebus.co.tz, New Force Bus Official Website for Online Bus.NAFASI za Kazi ya Udereva wa BUS (PSV) Leo July 2023, New Force booking Office,New Force Office,new force mbeya to dar,new force mpya,new forcec ontacts, Newforcebus.co.tz, Newforcebus.co.tz, New Force Bus Official Website for Online Bus.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *