LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

NAFASI za kazi ya Walimu wa kujitolea Rufiji 2023

Filed in Ajira by on 09/02/2023 2 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

NAFASI za kazi ya Walimu wa kujitolea Rufiji 2023 – Volunteering Teaching Jobs  2023

NAFASI za kazi ya Walimu wa kujitolea Rufiji 2023 - Volunteering Teaching Jobs  2023

NAFASI za kazi ya Walimu wa kujitolea Rufiji 2023 – Volunteering Teaching Jobs  2023

Wanahitajika walimu wa fani zote kuanzia Certificate mpaka Degree, Posho za walimu wa Primary na O-level watalipwa 100,000, Walimu wa Advance watalipwa 200,000.

Volunteering Teaching Jobs 2023 Rufiji is one of the six districts of the Pwani Region of Tanzania.

It is bordered to the north by the Kisarawe and Mkuranga Districts, to the east by the Indian Ocean, to the south by the Kilwa District, Lindi Region and to the west by the Morogoro Region.

About TAMISEMI,News About TAMISEMI,TAMISEMI Ajira,Get all information about TAMISEMI Tanzania details Including TAMISEMI news, TAMISEMI elimu, TAMISEMI breaking news, TAMISEMI in english www.tamisemi.go.tz, TAMISEMI ajira www.tamisemi.go.tz ajira, tamisemi form five selection.

This guide provides  relevant information about TAMISEMI to let you find the information you need. Save time and get TAMISEMI details here.

Want to know about Official Website Tamisemi, Tamisemi Official Website? Make sure that you read the whole guide because we have taken into account all information on Tamisemi Official Website for the best tips for you! Official Website Tamisemi details are available on this page.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI
TANGAZO NAFASI ZA KAZI YA WALIMU WA KUJITOLEA

Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kupitia Mfuko wa Elimu, inawatangazia kuwepo kwa nafasi 44 za kufundisha katika shule za Msingi na sekondari.

Lengo kuu ikiwa ni kupunguza upungufu mkubwa wa walimu katika Halmashauri yetu.

Masharti ya ajira ya kujitolea
1.Wenye sifa tu ndio waombe
2.Ajira zao zitakuwa za mkataba wa mwaka mmoja mmoja kwa mapitio ya miezi mitatu mitatu.
3.Posho ya walimu anayejitolea ni Tshs 100,000.00 kwa mwalimu atakayefundisha za Msingi na sekondari mpaka kidato cha nne.
4.Posho ya mwalimu atakayefundisha kidato cha tano na sita ni Tshs 200,000.00 kwa mwezi.

Sifa za Mwombaji:
1.Awe na cheti cha stashahada na shahada kwa shule za Sekondari kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.
2.Awe na cheti cha Astashaha,Stashada na Shahada kwa shule za Msingi kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.

Kazi za kufanya (Majukumu)
1.Kufundisha wanafunzi
2.Kushika zamu
3.Usimamizi wa nidhamu na malezi ya wanafunzi
4.Kufanya kazi nyingine za ualimu atakazopangiwa na Mwalimu Mkuu au Mkuu Shule.

Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:
Mkuu wa Shule
Shule ya Sekondari
S.L.P
UTETE/RUFIJI

Maombi yanapopokelewa kuanzia tarehe
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi S.L.P
UTETE/RUFIJI
07/02/2023 hadi 22/02/2023.

Aidha tangazo hili linafuta tangazo la maombi yakupokelewa la tarehe 3/01/2023 hadi tarehe 15/01/2023.

N:B Vitu vya kuzingatia;

Nakala ya cheti cha kidato cha IV au VI, Vyeti vya Taaluma, Cheti cha kuzaliwa, CV (Taarifa binafsi) na picha mbili (passoport size).

Nakala za vyeti vithibitishwe na Mahakama.

Mtu yeyote atakayewasilisha nakala za matokeo (Result slip au Progressive results hatafanikiwa katika maombi yake
Vegenoots John L.Kayombo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Rut, MKURUGEN MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFU

President’s Office – Regional Administration and Local Government

The role of the Ministry is to coordinate and supervise regional development management and administration. Thus, the ministry coordinates rural and urban development management policy and strategies; coordinates Regional Secretariats activities and builds their capacity in institutional development strategies for integrated socioeconomic development and financial development of Local Government Authorities.

The Ministry also coordinates and supervises development planning and sectoral interventions on donor supported programmes at district and other locals levels; issues ministerial guidelines to Regional Secretariats and Local Government Authorities; and strengthen the channel of communication and information flow between the national and sub-national levels.

It helps to builds the administrative capacity of local governments and to strengthen channels of communication between national and sub-national bodies to further devolve power to the local level, ultimately aiming to improve the quality of life for Tanzanians.

TAMISEMI CONTACT DETAILS
1923 Dodoma – Tanzania, Afrika Mashariki,
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Telephone: + 255 (26) 232 1 234
Mobile:
Fax: +255 (26) 23 22 116
Email: ps@tamisemi.go.tz
Complain: ps@tamisemi.go.tz
For more information Visit http://tamisemi.go.tz

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , ,

About the Author ()

Comments (2)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Mica j says:

    Maombi yanatumwa kupitia website au email ipi sasa please wekeni email ya kutuma maombi

  2. jepha says:

    Slp hamna email hamna hayo maombi yanatumwaje?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *