NAFASI za Kazi za Watendaji Nanyumbu DC Leo 14 August 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
NAFASI za Kazi za Watendaji Nanyumbu DC Leo 14 August 2023
NAFASI za Kazi za Watendaji Nanyumbu DC Leo 14 August 2023, Watendaji Job Opportunities at Nanyumbu DC today 2023,Ajira za watendaji 2023.
Kwa mujibu wa Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb.Na.FA.97/362/01 “B”/85 cha tarehe 26 Juni 2023 kutoka kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III.
1.0 MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – (NAFASI 03)
SIFA:
- Mwombaji awe amefaulu Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti ‘NTA Level 5’ katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, Usimamizi wa Serikali za Mitaa, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamiziwa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III:
- Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Wilaya na Halmashauri ya Kijiji
- Kusimamia masuala ya usalama kudumisha amani na utulivu katika kijiji
- Kuandaa, kupitia na kutekeleza mipango na Bajeti za Maendeleo ya Kijiji
- Kusimamia, kukusanva na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Serikali ya Kijiji
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji
- Kutoa huduma za ukatibu kwa vikao vya kamati na Halmashauri ya Kijiji
- Kutafsiri na kutekeleza sera, sheria na taratibu za kisekta katika ngazi ya Kijiji
- Kufuatilia utekelezaji wa mipango na bajeti ya Kijiji
- Kuandaa, kupitia na kutekeleza Sheria Ndogo za Kijiji
- Kuratibu na kushughulikia usimamizi wa maafa
- Kushughulikia malalamiko ya wananchi
- Kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo katika Kijiji na
- Atatekeleza majukumu mengine kadiri atakavyopangiwa na Mtendaji wa Kata.
NGAZI YA MSHAHARA:
Cheo cha Mtendaji wa Kijiji Daraja la III kina ngazi ya Mshahara ya TGS B
MASHARTI YA JUMLA
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
- Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
- Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono na kutumwa kwenye anuani iliyotajwa hapo chini
- Mwombaji aambatishe nakala za vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa, wasifu (Curriculum Vitae) na nyaraka zote muhimu pamoja na picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.
- Testimonials “provisional results”, “statement of results, hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM FOUR AND FORM SIX RESULTS SLEEPS) HAVITAKUBALIKA
- Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe kwenye kichwa cha habari cha barua, kutozingatia hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili
- Wombaji waambatishe nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA), au Namba ya Kitambulisho kwa ambao bado hawajapatiwa vitambulisho
- Waombaji watakaokidhi sifa ndio watakaoitwa kwenye usaili (interview)
- Barua za maombi zinaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza, na kutumwa/kuwasilishwa kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALIUASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU,
S.L.P 246,
MASASI – NANYUMBU.
NB: Uwasilishaji wa barua za maombi kwa njia ya mkono katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya hauruhusiwi na hazitapokelewa, na Mwisho wa kutuma na kupokea maombi ni tarehe 25 Agosti, 2023 saa 9:30 Alasiri.
NAFASI za Kazi za Watendaji Nanyumbu DC Leo 14 August 2023, Nafasi za kazi watendaji wa vijiji Nanyumbu District Council,Jobs Tanzania nanyumbu district council,Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu,Job Opportunities & Vacancies At Nanyumbu District Council,New Jobs at Nanyumbu DC Mtwara Villege Executive Officers,Kata za nanyamba,Ajira nanyamba,Nafasi za kazi halmashauri ya mji wa newala, Nafasi za kazi Tandahimba, Nafasi za kazi watendaji wa vijiji Nanyumbu District Council August 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League 2023/2024)
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England Premier League 2023/2024
- FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
- JINSI ya Kupata TIN namba Online
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Ajira nanyamba, Job Opportunities & Vacancies At Nanyumbu District Council, Jobs Tanzania nanyumbu district council, Kata za nanyamba, Nafasi za kazi halmashauri ya mji wa newala, Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, Nafasi za kazi Tandahimba, Nafasi za kazi watendaji wa vijiji Nanyumbu District Council, Nafasi za kazi watendaji wa vijiji Nanyumbu District Council August 2023., NAFASI za Kazi za Watendaji Nanyumbu DC Leo 14 August 2023, New Jobs at Nanyumbu DC Mtwara Villege Executive Officers