Nijuze Habari App

NASREDDINE Nabi atua AS FAR Rabat

Filed in Michezo, New, Usajili by on 17/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NASREDDINE Nabi atua AS FAR Rabat

NASREDDINE Nabi atua AS FAR Rabat

NASREDDINE Nabi atua AS FAR Rabat

NASREDDINE Nabi atua AS FAR Rabat, Klabu ya FAR Rabat ya Morocco imekamilisha usajili wa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Nasredeen Nabi kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mmoja zaidi.

Nasredeen Nabi raia wa Tunisia mwenye umri wa miaka 58 aliachana na Yanga baada ya msimu mzuri akiipa mataji yote ya nyumbani, Ngao ya Jamii, Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC) huku akifikisha Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria.NASREDDINE Nabi atua AS FAR Rabat

Awali Nabi alikuwa akihusishwa kutua kunako klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, lakini dili hilo lilishindikana.

Baada ya dili lake na Kaizer Chiefs kufa, Nabi alikuwa akiwindwa na vilabu kama Wydad Casablanca ya Morocco pia, APR ya Rwanda, Etoile du Sahel ya Tunisia na CR Belouizdad ya Algeria.

NASREDDINE Nabi atua AS FAR RabatNabi ametua FAR Rabat akichukua mikoba ya Mohammed Aziz Samadi, ambaye aliiongoza AS FAR kutwaa taji la Morocco wiki mbili zilizopita kama Kocha wa muda.

Samadi aliiongoza klabu hiyo baada ya kikosi hicho kumfuta kazi aliyekuwa kocha wao Mkuu bwana Fernando Da Cruz.

Da Cruz alionyeshwa mlango wa kutokea baada ya klabu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Klabu Bingwa ya Kiarabu.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *