Nijuze Habari App

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2023 tazama hapa

Filed in Ajira, Michezo by on 13/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2023 tazama hapa

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2023 tazama hapa

Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said Mohamed akitangaza matokeo hayo leo.

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2023 tazama hapa, Balaza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana 2022.

Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo lililopo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said Mohamed amesema kuwa jumla ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani ni 106, 883 huku wasichana wakiwa ni 47, 340 na wavulana 59, 543.

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2023 tazama hapa“Jumla ya watahiniwa 104,549 sawa na asilimia 99.23 ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2023 wamefaulu,” amesema.

Wasichana waliofaulu ni 46,707 sawa na asilimia 99.51 huku kwa upande wa wavulana, waliofaulu ni 57, 843 sawa na asilimia 99.

Mwaka 2022 waliofaulu walikuwa 93,136 sawa na asilimia 98.97 hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka 2023.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023 NA UALIMU 2023 YAMETANGAZWA
Bofya Link Hapa Chini

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *