NEW AUDIO | G Nako Ft. Rayvanny – Tusipangiane | Download Mp3

Filed in Audios by on 04/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

NEW AUDIO | G Nako Ft. Rayvanny – Tusipangiane | Download Mp3

NEW AUDIO | G Nako Ft. Rayvanny – Tusipangiane | Download Mp3

NEW AUDIO | G Nako Ft. Rayvanny – Tusipangiane | Download Mp3

Download | G Nako Ft. Rayvanny – Tusipangiane [Mp3 Audio]

Raymond Shaban Mwakyusa (anafahamika zaidi kwa jina lake kama Rayvanny; amezaliwa 22 Agosti 1993) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania (kwa asili ni mtu wa mkoani Mbeya).

“Rayvanny” alianza kujulikana kupitia wimbo wake “Kwetu”[1] si siku nyingi sana tangu Harmonize atoe wimbo wake wa Bado.

Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What’s My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na Queen Darleen, Pochi Nene aliyoimba na s2kizzy na baadaye Mwanza wimbo ambao aliimba na msanii mwenzie Diamond Platnumz. Wimbo huo ulifungiwa na Baraza la Sanaa nchini Tanzania BASATA kutokana na kutokuwa na maadili mema hivyo kufanya wimbo huo kufungiwa kupigwa kwenye vyombo vya habari nchini Tanzania.

Baada ya wimbo huo kufungiwa yeye na Diamond walitoa wimbo uitwao Tetema, wimbo ambao ulipendwa na watu wengi kuufanya kuwa na watazamaji wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa muda mfupi sana.

Jina la kuzaliwa Raymond Shaban Mwakyusa
Pia anajulikana kama Rayvanny
Amezaliwa 22 Agosti 1993 (umri 29)
Asili yake Mbeya,Tanzania
Aina ya muziki Bongo Flava,Afro Pop
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi, mtayarishaji wa rekodi
Ala Piano, sauti
Miaka ya kazi 2011–mpaka sasa
Studio Wasafi Records,Next Level Music
Ame/Wameshirikiana na Harmonize, Diamond Platnumz
Tovuti Rayvanny

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *