LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

NEW AUDIO | Msaga Sumu – CCM Chama | Download Mp3

Filed in Audios by on 15/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

NEW AUDIO | Msaga Sumu – CCM Chama | Download Mp3

NEW AUDIO | Msaga Sumu – CCM Chama | Download Mp3, Msaga Sumu za kitambo,Msaga sumu – Mama wa kambo,Msaga Sumu Mpya,msaga sumu – mchawi pesa,Msaga sumu mp3 download,Msaga Sumu simba,Msaga Sumu Shemeji,Msaga Sumu nyimbo zake zote,Msaga Sumu All songs Download,msaga sumu historia ya kweli | mp3,Msaga Sumu Kidole Changu,Msaga sumu singeli.

NEW AUDIO | Msaga Sumu – CCM Chama | Download Mp3, Msaga Sumu za kitambo,Msaga sumu - Mama wa kambo,Msaga Sumu Mpya,msaga sumu - mchawi pesa,Msaga sumu mp3 download,Msaga Sumu simba,Msaga Sumu Shemeji,Msaga Sumu nyimbo zake zote,Msaga Sumu All songs Download,msaga sumu historia ya kweli | mp3,Msaga Sumu Kidole Changu,Msaga sumu singeli.

NEW AUDIO | Msaga Sumu – CCM Chama | Download Mp3

Singeli (vilevile: Sengeli) ni aina ya muziki maarufu sana katika maeneo yanayokaliwa na Waswahili au watu wa Pwani nchini Tanzania.

Singeli huchukuliwa kama “mchiriku” au “mnanda” wa kisasa. Muziki huo ni muunganiko wa miziki ya Taarab, Bongo Flava, mchiriku na Vanga (mdundiko) la Kizaramo ndilo limezaa muziki huu.

Muziki huo hupigwa sana katika shughuli za harusi au maulidi – hasa hukesha maarufu kama “vigodoro”. Mwanzilishi wa mtindo huo ni Msaga Sumu.

Tafiti za hivi karibuni zinaonesha ya kwamba muziki wa singeli unakua na kuenea kwa kasi kubwa sana hasa jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wengi wanaoimba muziki huo wanapatikana.

Muziki huo ulianza miaka ya 2010 huku ukionekana kama ni muziki wa kuiga hivyo kuufanya ukue kwa tabu kwa kipindi hicho, umekamata hatamu katika mitaa ya jiji la Dar es Salaam na sehemu nyingine nchini Tanzania.

Download | MSAGA SUMU – CCM CHAMA [Mp3 Audio]

Takwimu zinaonesha kuwa asilimia 66.8 ya Watanzania wanaufahamu muziki huo na wanausikiliza kwa njia tofauti ikiwepo redio, kuweka katika simu, flash na kupiga katika sherehe mbalimbali zinazofanyika katika jamii ya Watanzania.

Sengeli ilianza kwa kuwa na wasanii wachache lakini aliyekuwa anasikika sana alikuwa Msaga Sumu aliyetamba na nyimbo zake kama ‘Naipenda Simba’ na nyingine nyingi ambazo zilitamba na zinaendelea kutamba mpaka sasa katika sherehe mbalimbali nchini.

Tangu uwepo wa Msaga Sumu katika muziki huo, sasa wameibuka wasanii wengine wengi kama Dogo Niga, Man Fongo, Dogo Sudi, Dogo Mkamela, Sholo Mwamba na wengine wengi ambao wote wanafanya vizuri katika muziki kiasi cha kuufanya muziki wa Bongo Flava kuwa hatarini katika vigodoro au sherehe mbalimbali.

Muziki huo ambao hauna ulazima wa msanii kuingia studio na kurekodi mara nyingi wasanii hao hutumia beats za nyimbo nyingine kisha wanafanya mixing zao kisha wanatumia katika nyimbo zao.

Aidha, katika sherehe, kama kumtoa mtoto (vibeseni), ndoa na sikukuu za kidini muziki huo ndio unapigwa kwa asilimia 95 ukilinganisha na muziki mwingine kama nyimbo za Injili, dansi na bongo fleva.

Hivyo basi miaka ijayo muziki wa singeli utakuwa juu zaidi ya muziki wa aina nyingine nchini Tanzania kwani hata redio na vyombo vya habari vingine vimeupokea vizuri muziki huo mfano mzuri ni radio EFM.

Baadaye vikaanza vyombo vingine kuupiga muziki huo, japo kuna baadhi ya jamii inauona kama ni muziki wa kihuni sababu ya maneno yanayotumika.

Pia ndani ya muziki wa singeli kuna pande mbili yaani:

singeli ladha ambayo huimbwa sana kwa hisia pia na taratibu, mfano huimbwa sanasana na wasanii kama Msaga Sumu, Balaa Mc, Dvoice , Meja kunta, Dulla Makabila, Manfongo, Sholo Mwamba, Snura, Mchina Mweusi na wengineo;
singeli michano au maarufu kama singeli bakora ambayo huimbwa kwa kuwarusha watu na kwa mwendo kasi huimbwa na wasanii kama Pkmrkonk, Kidene fighter, Jeusi mc, Canal mjeuri, Wenga, Dogo jagwa, Kiroboto mc, Mczo morfan na wengine wengi.

MaDj pamoja na producer maarufu hadi sasa ndani ya muziki huu ni Dj tito, Eyoo kenny, Dj mushizo, Duke utauwa, Diblo one touch, Dj travellah wa misondo, Dj fundi (Dogo fundi), Dj marota, Malick xtwo na wengineo.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *