LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

NEW VIDEO | Ambulance & Mabantu – BONGE LA DEMU Donwload Mp4

Filed in Videos by on 04/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

NEW VIDEO | Ambulance & Mabantu – BONGE LA DEMU Donwload Mp4

NEW VIDEO | Ambulance & Mabantu – BONGE LA DEMU Donwload Mp4

NEW VIDEO | Ambulance & Mabantu – BONGE LA DEMU Donwload Mp4

 VIDEO Ambulance & Mabantu – BONGE LA DEMU Donwload Mp4 Click here

Mabantu ni akina nani?

“Mabantu” ni jina la kutaja kundi la muziki wa Bongo Flava kutoka jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kundi linaundwa na wasanii wawili, Twarha Kanengo (Twarha Mabantu kuzaliwa-9 Julai, 1997) na Mwarami Kajonje (Muuh Mabantu kuzaliwa-21 Januari, 1999).

Kwa pamoja, wanafahamika kwa wimbo wao Sundi (2018), Bodaboda (2018) “Kama Tulivyo” (2019) wakimshirikisha Whozu, na ule maarufu zaidi ni Nawakera walishirikiana na Young Lunya. Pia waliwahi kufanya kazi ya kishirikishi na R “the” DJ, Shobo (2021).

Mabantu walikuja kutambulika zaidi kupita kiasi baada ya kutoa Sponsa (2020), walirudi tena na Young Lunya.

Hapo awali, wawili hawa wote walikuwa katika taasisi ya Said Fella, maarufu kama “Mkubwa na Wanawe” wakiwa sehemu ya wasanii wanaosubiri kuwezeshwa.

Ilipotimu mnamo mwaka wa 2013, kabla hata ya kushiriki katika wimbo hata mmoja, vijana hawa waliamua kuondoka mikononi mwa mkubwa na wanawe, na hatimaye kuanzisha Mabantu rasmi.

Mwarami aliingia Mkubwa na Wanawe mwishoni mwa 2011, wakati Twarha aliingia 2012 mwishoni. Lakini lilipokuja suala la kutaka kujiendeleza zaidi nje ya mikono ya kituo cha Mkubwa Fella, iliwalazimu waje na jina la kundi ambalo wangelitumia kama utambulisho kwa wasanii hawa.

Wakiwa kituoni kwa Fella, walipata fursa ya kushiriki mazoezi mbalimbali ya kuondoa uwoga wa hadhira na matumizi ya ala za sauti na vyombo vya muziki. Kituo kilikuwa na kila aina ya vifaa wezeshi kwa watoto wanaokaa hapo.

Walirekodi nyimbo kadhaa ambazo hazikutoka nje ya kituo hicho. Kimsingi, Twarha ni mnenguaji na mwimbaji, wakati Mwarami alijipambanua kama mwimbaji zaidi.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *