LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

NEW VIDEO | Ommy Dimpoz & Blaq Diamond – Anaconda Download Mp4

Filed in Videos by on 10/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

NEW VIDEO | Ommy Dimpoz & Blaq Diamond – Anaconda Download Mp4

NEW VIDEO | Ommy Dimpoz & Blaq Diamond – Anaconda Download Mp4

NEW VIDEO | Ommy Dimpoz & Blaq Diamond – Anaconda Download Mp4

About Omary Faraji Nyembo (Ommy Dimpoz)

Omary Faraji Nyembo (amezaliwa 12 Septemba, 1987) ni mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania ambaye anajulikana kwa jina la kisanii kama Ommy Dimpoz.

Ommy alianza kuvuma kwa wimbo wake wa Nai Nai aliomshirikisha Ali Kiba, Baadaye, Mama alioshirikishwa na Christian Bella, Me and You alioshirikishwa na Vanessa Mdee, Utamu alioshirikishwa na Dully Sykes, Hello Baby alioshirikishwa na Avril kutoka Kenya, Cheche, Achia Body, Tupogo, Ndagushima, Wanjera na Kajiandae.

Ommy Dimpoz ni msanii mwenye masihara na maneno mengi ya kuchekesha. Sawa na Rayvanny wa WCB. Ommy ni moja kati ya wasanii ambao wanajali sana faragha za maisha yao.

VIDEO | Ommy Dimpoz & Blaq Diamond – Anaconda Download Mp4 Click Here

Awali mwaka 2016 kulikuwa na gumzo kubwa baada ya Nay wa Mitego kumwimba vibaya Ommy kwenye wimbo wake na kumshutumu kama shoga. Baadaye Ommy akajibu kwa kuonesha picha ya demu wake na ikaja kugundulika kuwa Nay wa Mitego ana kibamia.

Ommy ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Pozi kwa Pozi Entertainment ambayo meneja wake (Mubenga) aliachia ngazi mwaka wa 2016.[3] Tangu wimbo wa Cheche (2017), amekuwa chini ya lebo ya Rockstar4000 ambayo iko chini ya Ali Kiba.

Mwaka wa 2018, ulikuwa mgumu sana kwa Ommy Dimpoz. Afya yake ilitetereka sana baada ya kufanyiwa vipimo Tanzania na kuonekana ana kansa.

Lakini baada ya kwenda Kenya kwa moja ya marafiki zake wanaofanya kazi pamoja katika muziki ili kufanyiwa uchunguzi zaidi, napo daktari wa huko alipendekeza apelekwe Afrika Kusini kwa uchunguzi zaidi.

Akiwa Afrika Kusini aligundulika kama ana tatizo katika njia kuu ya kupitishia chakula. Daktari wa Afrika Kusini walitengeneza njia mpya ya kupitishia chakula badala ya ile njia ya asili.

Ili kufanikisha hili, ilibidi utumbo uvutwe juu. Hivyo kina cha tumbo kimepungua kutoka hali ya umbo halisi. Hata uwezo wa kula umepungua, akila anashiba mapema sana tofauti na watu ambao hawajafanyiwa upasuaji huu. Kabla ya upasuaji, Ommy alilamikia sana kukosa pumzi, sauti kuwa chini na kadhalika.

Hali halisi alifanyiwa upasuaji wa koromeo. Hali ambayo ilisababishwa na sumu iliyowekwa kwenye chakula. Ommy hajui ni wapi alifanyiwa hivyo.

Jina la kuzaliwa Omary Faraji Nyembo
Amezaliwa 12 September 1987 (umri 35)
Dar es Salaam, Tanzania
Kazi yake Mwimbaji
Ala Sauti
Ameshirikiana na Ali Kiba, Diamond Platnumz, Dully Sykes

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *