Nijuze Habari App

Nickson Kibabage atua Yanga

Filed in Michezo, New, Usajili by on 05/07/2023 0 Comments
Share This

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nickson Kibabage atua Yanga

Nickson Kibabage atua Yanga, Klabu ya Yanga imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Nickson Kibabage kutoka klabu ya Singida Fountain Gate FC

Kibabage ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kushoto na winga, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga mpaka 2026.

Nickson Kibabage atua Yanga, Nickson Kibabage atua Yanga, Nickson Kibabage Yanga SC, Nickson Kibabage Yanga, Nickson Kibabage Young Africans,Yanga yamsajili Nickson Kibabage,Yanga yamsajili Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC.Aidha Kibabage atajumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kitakachosafiri kwenda Malawi kwaajili ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets ya nchini humo.

Mchezo hul unatarajiwa kuchezwa July 06,2023 katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Malawi, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt: Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi.

Kibabage anaungana na wenzake Dickson Job na Kibwana Shomari ambao alicheza nao Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania ya U-17 (Serengeti Boys) iliyoshiriki AFCON U-17 mwaka 2017 nchini Gabon.

Nickson Kibabage atua Yanga, Nickson Kibabage atua Yanga, Nickson Kibabage Yanga SC, Nickson Kibabage Yanga, Nickson Kibabage Young Africans,Yanga yamsajili Nickson Kibabage,Yanga yamsajili Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *