Nijuze Habari

Nijuze Habari inawatakia Kheri ya Mwaka Mpya 2022!

Filed in Michezo by on 01/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

KWA dhati kabisa Uongozi wa Nijuze Habari tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya .

Tunashukuru kuwa pamoja na familia ya Nijuze Habari tunaomba mzidi kuhamasisha na wengine waje kwa wingi Ili kuwa miongoni mwa familia yetu waweze kupata habari zetu.

Sasa tumeingia mwaka mpya wa 2022, tunatumaini utakuwa ni mwanzo mzuri wa mipango mikakati katika shughuli zenu za kila siku ikiwemo utumiaji mzuri wa Mitandao wetu wa Nijuze Habari.

Tunatoa Shukrani kwa wasomaji wetu wote huku pia tukikaribisha maoni, mapendekezo, ushauri na changamoto yoyote ile mnayokumbana nayo wakati wa kuitumia website yetu ya Nijuze Habari na App ya Nijuze Habari.

Asanteni sana na Kheri ya Mwaka Mpya 2022!

telegram Nijuze Habari

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.