Olebile Sikwane CEO mpya Singida Fountain Gate FC
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Olebile Sikwane CEO mpya Singida Fountain Gate FC
Olebile Sikwane CEO mpya Singida Fountain Gate FC, Klabu ya Singida Fountain Gate FC (zamani Singida Big Stars FC) imemtambulisha Ofisa Mtendaji Mkuu wake mpya Bw. Olebile Sikwane.
- MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023
Bw. Sikwane ni mzaliwa wa Botswana, raia wa Afrika Kusini, mwanamichezo mwenye uzoefu mkubwa katika Soka la Afrika akiwa amelitumikia Shirikisho la Soka la Botswana Kama Mkuu wa Mashindano na Utoaji Leseni za Klabu.

Olebile Sikwane CEO mpya Singida Fountain Gate FC
Pia Sikwane ameitumikia Gaborone United SC ya Botswana kama Meneja Mkuu.
Baada ya kumtambulisha Singida Fountain Gate FC imesema kuwa; ni matumaini yao kuwa uzoefu wake mkubwa utaibadilisha Singida Fountain Gate FC kuwa klabu ya kitaalamu ambayo itajiweka imara na kuendelea kuwa miongoni mwa Klabu 4 Bora za Tanzania huku ikianza safari kabambe ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya CAF.

Olebile Sikwane CEO mpya Singida Fountain Gate FC
Picha ni Rais wa Klabu, Japhet Makau kushoto, akimkabidhi fulana ya Singida Big Stars (sasa Singida Fountain Gate) CEO Sikwane, wakati akimtambulisha kwa Wanahabari mapema leo Jumatano.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
