ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023
ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023,Tangazo La Wito Mafunzo February 2023,Kuitwa Kwenye Mafunzo Feb 2023,Download Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023,Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI
IMMIGRATION
TANZANIA.
KUITWA KWENYE MAFUNZO.

ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji kuripoti Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga siku ya Jumatano tarehe 01 Machi, 2023 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.
Kwa walioomba na kuchaguliwa kupitia Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, wanatakiwa kuripoti Afisi Kuu Zanzibar siku ya Jumatano tarehe 22 Februari, 2023.
Atakayeripoti chuoni baada ya muda uliotajwa hatapokelewa.
ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023 Download PDF
Mahitaji na Vifaa: Kila mmoja anatakiwa kuwa na vifaa vifuatavyo; Mashuka manne (4) yenye rangi ya bluu bahari, mto mmoja na foronya mbili rangi ya bluu bahari, chandarua cha duara cha rangi ya bluu bahari, madaftari makubwa 11, sanduku la chuma (trunker), ndoo mbili za plastiki (moja ya lita 20 na moja ya lita 10), fulana mbili za rangi ya dark blue zenye nembo ya Jeshi la Uhamiaji.
Mahitaji mengine ni: Vifaa vya Usafi (Jembe na mpini wake, fyekeo, sururu, panga na shoka), nguo za michezo (tracksuit, bukta na raba), viatu vya mvua (rainboot), koti la mvua (raincoat), nguo chache nadhifu na za heshima, kadi ya Bima ya Afya au Fedha Tsh. 50,400/= kwa wasio na Bima ya Afya, Tsh. 20,000/= kwa ajili ya upimaji afya, Tsh. 60,000/= ya kununua godoro, na fedha za matumizi binafsi.
Mahitaji na Vifaa vilivyoainishwa hapo juu vinapatikana katika Duka la Chuo.
Gharama za Usafiri kutoka nyumbani kwenda Chuoni zitagharamiwa na mhusika mwenyewe.
Aidha, kila mmoja aje na vyeti halisi vya Elimu (Kidato cha Nne, cha Sita, Astashahada, Stashahada, Shahada, na vyeti vya Ujuzi), cheti cha kuzaliwa, cheti cha JKT/JKU na Kitambulisho cha Taifa (NIDA).

ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023
The Commissioner General of Immigration announces the following young people who have been selected to join the Immigration Force to report to the Immigration College of Raphael Kubaga located at Boma Kichakamiba, Mkinga District in Tanga region on Wednesday March 01, 2023 from 2:00 am to 8:00 am in the afternoon For those who applied and were selected through the Immigration Commissioner Zanzibar, they are required to report to the Central Office in Zanzibar on Wednesday, February 22, 2023. Whoever reports to the college after the mentioned time will not be accepted.
The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015. It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.
In addition, everyone should bring real education certificates (form four, Form six, Diplomas, Degrees, and Certificates of Skills), birth certificate, certificate of JKT/JKU and National Identity Card (NIDA).
ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023 Download PDF
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Download Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023, Kuitwa Kwenye Mafunzo Feb 2023, Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023., ORODHA ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023, Tangazo La Wito Mafunzo February 2023