Nijuze Habari App

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 2023

Filed in Ajira, New by on 20/08/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 2023

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 2023, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 07/01/2023, 05-20/02/2023, 27/03/2023 12-29/05/2023 na 12-23/06/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 2023,ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 19-2023,Download orodha ya majina walioitwa kazini August 19.2023,ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 19 August 2023,PDF
tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma 20-08-2023,Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma 2023/2024,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI 2023,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,Majina ya Walioitwa kazini Utumishi 2023,Ajira portal.Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 2023 Donwload PDF

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 19-2023,Download orodha ya majina walioitwa kazini August 19.2023,ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 19 August 2023,PDF tangazo la kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma 20-08-2023,Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma 2023/2024,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI 2023,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,Majina ya Walioitwa kazini Utumishi 2023,Ajira portal.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *