ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023

ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023
ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 04-19/02/2023 na 14-29/05/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo July 14.2023 Download PDF
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na kuja na Kitambulisho kinachotambulika.
Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma | PDF,Tangazo La Kuitwa Kazini – Utumishi | PDF,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI July 14.2023,Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma 2023,ajira.go.tz,KUITWA KAZINI,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI.
ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023, Sekretarieti ya ajira,Majina ya walioitwa kazini Utumishi,Ajira portal,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI Leo,Tangazo La Kuitwa Kazini Utumishi Leo 14 July Call To Work today 2023,Tangazo la Kuitwa Kazini.pdf.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Ajira portal, ajira.go.tz, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI July 14.2023, KUITWA KAZINI, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI Leo, Majina ya walioitwa Kazini UTUMISHI, Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023, ORODHA ya Majina ya Walioitwa Kwenye Kazini UTUMISHI Leo 14 July 2023, Sekretarieti ya Ajira, Tangazo La Kuitwa Kazini - Utumishi | PDF, Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma | PDF, Tangazo La Kuitwa Kazini Utumishi Leo 14 July Call To Work today 2023, Tangazo la Kuitwa Kazini.pdf