ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023

ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023
ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023,Call For Interview at UTUMISHI July 2023,Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Shirika la Nyumbu (TATC), Shirika la Mzinga, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2023-07-12 hadi 2023-07-25 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
.Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. - Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023 Donwload PDF
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
- Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.
ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023, Names Called for Interview at PSRS / Utumishi Julai 2023,Call For Interview at UTUMISHI today July 2023,News Update Public Service Recruitment Secretariat, Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma July 2023,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 Call for interview,Ajira Portal Call for Interview UTUMISHI,Ajira Portal Vacancies,AJIRA PORTAL news today,Ajira portal login,Ajira portal,Ajira PORTAL Call for interview 2023,Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Leo 06 July 2023,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi July 06 2023 PDF Download.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Ajira portal, Ajira Portal Call for interview 2023, Ajira Portal Call for Interview UTUMISHI, Ajira Portal Login, Ajira portal news today, Ajira portal Vacancies., Call For Interview at UTUMISHI today July 2023, Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 - Call for interview, Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma July 2023, Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi July 06 2023 PDF Download., Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Leo 06 July 2023, Names Called for Interview at PSRS / Utumishi Julai 2023, News Update :: Public Service Recruitment Secretariat, ORODHA ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI July 06 2023