ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023

ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023
ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023,Ni zile Ajira 800 za Maafisaa Maendeleo ya Jamii 2023.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara za Serikali, Wakala wa Serikali, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (MDA’s- & LGA’s) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kwa nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii II kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08-07-2023 hadi 18-07-2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023 Download PDF
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kituo cha Usaili.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Leseni ya Udereva, Hati ya kusafiria au barua kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unakatoka.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
viii. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili. - Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.
- Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.
ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023, Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI,Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma | PDF,tangazo la kuitwa kwenye usaili,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 2023 PDF Download,Majina walioitwa kwenye Usaili Utumishi June 30 2023,Call for Interview UTUMISHI 2023 – Kuitwa kwenye usaili utumishi,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 – Call for interview,Majina ya walioitwa kwenye usaili leo,WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023,Walioitwa kwenye USAILI 2023,Ajira portal,Walioitwa kwenye USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Ajira portal, Call for Interview UTUMISHI 2023 - Kuitwa kwenye usaili utumishi, Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 - Call for interview, Majina walioitwa kwenye Usaili Utumishi June 30 2023, Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili, Majina ya walioitwa kwenye usaili leo, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023, Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 2023 PDF Download, Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii, ORODHA ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Post za Maendeleo ya Jamii June 30 2023, Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma | PDF, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, Walioitwa KWENYE USAILI 2023, Walioitwa kwenye Usaili Dodoma 2023