LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

ORODHA ya timu zitakazoshiriki MHOLA MiaMia CUP 2023

Filed in Michezo by on 21/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

ORODHA ya timu zitakazoshiriki MHOLA MiaMia CUP 2023

ORODHA ya timu zitakazoshiriki MHOLA MiaMia CUP 2023

ORODHA ya timu zitakazoshiriki MHOLA MiaMia CUP 2023

Mashindano ya MHOLA MiaMia CUP mwaka 2023 yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 2 June 2023 kwenye Uwanja wa CCM Zimbihile uliopo Wilayani Muleba, Kagera.

Mabingwa Watetezi wa MHOLA MiaMia CUP 2022 Ndangala FC waliondoka na Pesa taslimu Shilingi Milioni 3.

Bingwa wa Mashindano hayo msimu huu ataondoka na Shilingi Milioni 5 ambayo ndiyo zawadi ya Mshindi wa kwanza kwenye MHOLA MiaMia Cup 2023.

Orodha ya timu 16 zitakazoshiriki kwenye MHOLA MiaMia CUP 2023 ni;

1:Katoke FC
2:Ndangala
3:Mganza Academy
4:Rama Sports
5:Lunazi FC
6:Lake FC Bukoba
7:Magata Karutanga
8:Chipukizi Boys Bureza
9:Lunyinya FC
10:Nshambya
11:Yetu Afrika Kihumulo
12:Muleba Heroes
13:Kakindo
14:Bugala FC
15:Kabagunda
16:Biirabo

Nijuze TV App ni Mdhamini wa MHOLA MiaMia CUP 2023

Nijuze TV App ni Mdhamini wa MHOLA MiaMia CUP 2023

Nijuze Habari Kupitia Nijuze TV App ni Mdhamini wa Mashindano hayo (MHOLA MiaMia CUP 2023) Kupitia Application ya Nijuze TV inayopatikana Playstore Utaweza Kutazama Mechi zote LIVE kwenye Simu yako bila Malipo Popote Duniani.

Donwload Nijuze TV App Utazame Mechi zote LIVE kwenye Simu yako.

Pia unaweza kutembelea nijuzempya.com ili kupata Habari za Michezo na Usajili, Magazeti ya Kila Siku asubuhi, Nafasi za Kazi Kila Siku, Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani kila Siku pamoja na Makala Mbali Mbali.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *