Nijuze Habari App

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2022

Filed in New by on 24/11/2021 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu leo Jumatano November 24, 2021 ametangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni.

Katika upangaji wa mwaka huu wanafunzi wote 907,802 waliofaulu mtihani wamepangiwa kuanza masomo January 17, 2022 kwa wakati mmoja baada ya maandalizi ya Serikali.

Upangaji huo hautahusisha wanafunzi wenye ufaulu mzuri zaidi ambao wao watapangiwa kulingana na alama zao na kwa mwaka 2022 wanafunzi waliofaulu zaidi na kupangiwa ni wanafunzi 4188.

CHAGUA MKOA ULIPOMALIZA DARASA LA SABA KUONA MAELEZO YA UCHAGUZI

ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA
GEITA IRINGA KAGERA
KATAVI KIGOMA KILIMANJARO
LINDI MANYARA MARA
MBEYA MOROGORO MTWARA
MWANZA NJOMBE PWANI
RUKWA RUVUMA SHINYANGA
SIMIYU SINGIDA SONGWE
TABORA TANGA

“Wanafunzi waliopangiwa shule za bweni za Kitaifa ni 1989 na hapa tumechukua zaidi wanafunzi wa vijijini lakini kwenye majiji na halmashauri tumeangalia sana wenye uhitaji tu,” amesema Mwalimu.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Waziri ametoa sababu za kupangiwa zaidi kwa wanafunzi wa vijijini katika shule za bweni za Kitaifa kwamba kunatokana na uamuzi wa Serikali wa kujali wanafunzi wote wapate elimu.

Kwa mujibu wa Waziri Ummy, mpango wa kupanga nafasi hizo unakwenda kusaidia wanafunzi ambao huwa kwenye mazingira magumu na vikwazo ili wasome.

Wakati huo Waziri ametoa agizo kwa wakuu wa shule kote nchi kuacha visingizio vya michango au sare kwa wanafunzi wanaoanza bali waachwe waendelee na masomo huku mambo mengine watakamilisha mbeleni.

Wazazi/Walezi na Wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) miezi michache iliyopita wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sasa wanaweza kuangalia maelezo yao ya uteuzi mtandaoni kupitia tovuti ya TAMISEMI au tovuti za baraza la mkoa.

Pia unaweza tembelea tovuti rasmi ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI http://tamisemi.go.tz/ Au tovuti mahususi ya mkoa/wilaya au unaweza kutembelea Blogu rasmi ya TAMISEMI kuangalia masasisho na habari za Matokeo ya uteuzi wa kidato cha kwanza.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *