Nijuze Habari

SIMBA yaachana na Pablo na Kocha wa Viungo

Filed in Michezo by on 31/05/2022 0 Comments

SIMBA yaachana na Pablo na Kocha wa ViungoKLABU ya Simba imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha wake Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin.

Nijuze Habari Application

SIMBA yaachana na Pablo na Kocha wa Viungo

SIMBA yaachana na Pablo na Kocha wa ViungoKLABU ya Simba imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha wake Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin.

Pablo Franco Martín Kocha Simba SCKatika kipindi chake Kocha Pablo raia wa uhispania mwenye umri wa miaka 41 ameiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi na kufika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2021/2022.

Pablo Franco Martín Kocha Simba SCUongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa unamshukuru Kocha Pablo kwa mchango wake ndani ya klabu hiyo yenye makazi yake mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam.

Katika kipindi chote cha kumalizia msimu huu wa 2021/2022 Kikosi Cha Simba Sports Club kitakua chini ya kocha Msaidizi Selemani Matola raia wa Tanzania.

Daniel De Castro Rayes Kocha wa Viungo Simba SCVilevile klabu hiyo imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha wa viungo Daniel De Castro Reyes raia wa uhispania pia.

Klabu hiyo inawatakia kila kheri Kocha Pablo Franco na Mtaalamu wa Viungo Daniel Castro katika majukumu yao mapya.SIMBA yaachana na Pablo na Kocha wa Viungo

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

Fahamu Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2022

AJIRA za Sensa ya Watu na Makazi 2022, Tazama hapa jinsi ya kujaza fomu

UTARATIBU wa kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania na walio nje ya nchi

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023

MSIMAMO na Vinara wa NBC Premier League May 23,2022

MATOKEO Biashara United FC vs Yanga SC May 23,2022

VIINGILIO Nusu Fainali Yanga SC vs Simba SC (FA) May 28,2022

MAGAZETI ya Tanzania Alhamisi May 26,2022

SAFARI ya Yanga SC na Simba SC kwenye (ASFC) msimu huu wa 2021/2022

TETESI za Usajili Tanzania Bara 2022/2023

MAGAZETI ya Tanzania Ijumaa May 27,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumamosi May 28,2022

MATOKEO Yanga SC vs Simba SC Nusu Fainali (ASFC), May 28,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumapili May 29,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumatatu May 30,2022

YANGA yaachana na Saido Ntibazonkiza

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.