PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga

PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga
PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga, Kupitia Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika Leo June 24,2023 kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, Klabu ya Yanga imeonesha muonekano wa uwanja inaotarajia kuujenga eneo la Jwangani yalipo Makao Makuu ya Klabu hiyo.
Uwanja huo utakaojengwa ulipokuwa uwanja wa Kaunda, umetajwa kuwa utakuwa na uwezo wa kubeba idadi ya mashabiki 15,000 hadi 18,000.
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said katika Mkutano huo amesema kuwa wamedhamiria kukamilisha ujenzi wa uwanja huo kabla ya muda wao wa uongozi kukamilika
Akizungumza katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, mwezi May 24,2023, Injinia Hersi alisema kuwa taratibu za awali zimeshaanza kufanyika hapo Jangwani.
PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga
Hersi aliongeza kuwa kuhusu ujenzi wa Uwanja wana kiwanja Kigamboni lakini pia wana eneo ambalo lina jengo la Klabu pale Jangwani, wao wamependelea kujenga uwanja pale Jangwani na tayari taratibu zimeshaanza katika kulitekeleza hilo.
Ujenzi wa uwanja huo ilikuwa moja ya ajenda za Injinia Hersi wakati akigombea Urais wa klabu ya hiyo ambayo ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023, Washindi wa Ngao ya Jamii 2022/2023, Mabingwa wa Azam Sports Federation Cup 2022/2023 na Washindi wa Pili wa CAF Confederation Cup 2023.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Moja ya sababu ambayo Hersi aliitaja kujenga uwanja pale Jangwani badala ya Kigamboni ambako Yanga ina eneo kubwa zaidi, ni urahisi wa kufikika kwa mashabiki wake.
Hersi alisema kuwa wataalam waliwathibitishia kuwa katika eneo lao la uwanja wa zamani wa Kaunda, wanaweza kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza mashabiki hadi 18,000.
PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga, Uwanja wa yanga jangwani,Yanga Waanza Mchakato wa Kujenga Uwanja Eneo la Jangwani,Yanga kujenga uwanja Jangwani,MKUTANO MKUU YANGA | Muonekano wa uwanja wa Yanga, picha Yanga kujenga uwanja Jangwani,tazama mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga, mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga 2023, mwonekano wa Uwanja wa Yanga 2023, Uwanja mpya wa Yanga 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: MKUTANO MKUU YANGA | Muonekano wa uwanja wa Yanga, mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga 2023, mwonekano wa Uwanja wa Yanga 2023, picha Yanga kujenga uwanja Jangwani, PICHAZ: Mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga, tazama mwonekano wa Uwanja mpya wa Yanga, Uwanja mpya wa Yanga 2023., Uwanja wa yanga jangwani, Yanga kujenga uwanja Jangwani, Yanga Waanza Mchakato wa Kujenga Uwanja Eneo la Jangwani