Nijuze Habari App

PICHAZ Simba yawasili salama Uturuki

Filed in Michezo, New by on 13/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

PICHAZ Simba yawasili salama Uturuki

PICHAZ Simba yawasili salama Uturuki

PICHAZ Simba yawasili salama Uturuki

PICHAZ Simba yawasili salama Uturuki, Msafara wa kikosi cha Simba umewasili salama katika jiji la Istanbul nchini Uturuki.

Baada ya kuwasili salama, Simba watasafiri tena kuelekea Mji wa Ankara ambako ndiko kambi ya Pre-season itawekwa.

Simba itakuwa na takribani wiki nne za maandalizi kabla ya kuivaa Singida Fountain Gate FC katika mchezo wa Nusu Fainali ambao utapigwa August 10 katika uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

PICHAZ Simba yawasili salama UturukiSimba itakuwa Uturuki kwa muda wa wiki tatu na itarejea nchini August 01 kwaajili ya Tamasha la SIMBA DAY ambapo tarehe ya tukio hilo kubwa zaidi la michezo ukanda wa Afrika Mashariki bado haijatangazwa.

Ikiwa Uturuki Simba inatatajiwa kucheza mechi tatu za Kimataifa za kirafiki.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *