Nijuze Habari

PICHAZ & VIDEO: Simba ilipoweka Kambi, Mazoezi ya Kwanza – (Pre-Season 2022 Misri)

Filed in Michezo by on 15/07/2022 0 Comments

KIKOSI cha Simba kiliondoka nchini jana Alhamisi jioni kwenda Mjini Ismailia nchini Misri kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2022/2023.

Nijuze Habari Application

PICHAZ & VIDEO: Simba ilipoweka Kambi, Mazoezi ya Kwanza – (Pre-Season 2022 Misri)

KIKOSI cha Simba kiliondoka nchini jana Alhamisi jioni kwenda Mjini Ismailia nchini Misri kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2022/2023.

Simba yaweka Kambi MisriSimba imeondoka na wachezaji wake wote, wakiwemo wapya, wazawa wawili, kiungo Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar na mshambuliaji Habib Kyombo kutoka Singida Big Stars FC iliyomsajili Kutoka Mbeya Kwanza FC iliyoshuka Daraja msimu uliopita wa 2021/2022.

Simba yaweka Kambi MisriWengine ni wageni kiungo Mnigeria, Victor Akpan kutoka Coastal Union, winga Mghana, Augustine Okrah kutoka Asante Kotoko ya kwao na mshambuliaji Mzambia, Moses Phiri kutoka Zanaco ya kwao.

Simba yaweka Kambi MisriWengine ni Shomary Kapombe, Ally Salim, Benno Kakolanya, Jonas Mkude, Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Pape Sakho, Chris Mugalu, Meddie Kagere, Jimson Mwanuke, Chama, John Bocco, Israel Mwenda, Joash Onyango na Henock Inonga.Simba yaweka Kambi Misri

Kikosi hicho chini ya kocha mpya, Mserbia Zoran Manojilovic ‘Maki’ kinatarajiwa kurejea nchini August 5,2022 kwaajili ya Tamasha lake la Simba Day siku tatu baadaye.Simba yaweka Kambi Misri

Kambi ya Simba SC MisriBaada ya kuwasili salama kwenye Mji wa Ismailia, Misri, huu ni utulivu wa eneo hilo ambalo Simba imeweka kambi ya maandalizi yake.

Kambi ya Simba SC MisriSimba itakuwa hapa kwa takribani wiki tatu kujiandaa na msimu mpya wa 2022/2023.Kambi ya Simba SC Misri

Kambi ya maandalizi ya msimu mpya iliyopo jijini Ismailia, Misri.Kambi ya Simba SC Misri Kambi ya Simba SC Misri

Kikosi cha Simba SC kimeanza rasmi (Pre-Season) katika mji wa Ismailia nchini Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2022/2023Mazoezi ya Simba SC, Ismailia Misri Mazoezi ya Simba SC, Ismailia Misri

 

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.