Nijuze Habari App

PICHAZ: Yanga yawasili salama Malawi

Filed in Michezo by on 05/07/2023 0 Comments
Share This

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

PICHAZ: Yanga yawasili salama Malawi

PICHAZ: Yanga yawasili salama Malawi, Kikosi cha Yanga kimewasili salama nchini Malawi kwaajili ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kesho Alhamisi ya tarehe 06 July 2023 katika siku maadhimisho ya Uhuru wa nchi ya Malawi.

Msafara wa Yanga haujawajumuisha baadhi ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza wakipewa mapumziko baada ya kukamilika msimu wa 2022/2023

Aidha Yanga itaingia kambini July 10 kuanza maandalizi ya msimu mpya wa 2023/2024.

Katika hatua nyingine, Rais wa Klabu hiyo, Injinia Hersi Said amesema kuwa mwaliko waliopata kushiriki sherehe za Uhuru huko Malawi ni ishara ya heshima kubwa ambayo timu hiyo inapewa nje ya nchi.

“Ni heshima kubwa kwa Klabu ya Yanga kushiriki kwenye matukio makubwa kama haya, wote tunajua sherehe namba moja kwenye nchi ni uhuru”

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

“Sisi kualikwa ni heshima kubwa kwa Yanga na inaonyesha utayari wa Mataifa mengi kushirikiana na Yanga. Tanzania kuna Klabu nyingi wangeweza kualikwa, ni heshima kubwa sana sisi kualikwa tunawashukuru watu wa Malawi,” alisema Hersi

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *