Nijuze Habari App

RADHI Jaidi Kumrithi Robertinho Simba SC

Filed in Michezo by on 21/11/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

RADHI Jaidi Kumrithi Robertinho Simba SC

RADHI Jaidi Kumrithi Robertinho Simba SC, Mrithi wa Robertinho Simba, Radhi Jaidi Simba SC, Kocha Mpya Simba, Kocha Mpya Simba kutangazwa wiki hii, Simba yapata Kocha Mpya.

RADHI Jaidi Kumrithi Robertinho Simba SC, Mrithi wa Robertinho Simba, Radhi Jaidi Simba SC, Kocha Mpya Simba, Kocha Mpya Simba kutangazwa wiki hii, Simba yapata Kocha Mpya.

Klabu ya Simba inatarajiwa kumtangaza Kocha wake Mkuu wiki hii baada ya mchakato wa kumpata kocha huyo kukamilika.

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Simba, zimebainisha kuwa kocha huyo atatangazwa kabla ya Simba kuikabili ASEC Mimosas kwenye mchezo wa kwanza hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Jumamosi ya November 25,2023.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

RADHI Jaidi Kumrithi Robertinho Simba SC, Mrithi wa Robertinho Simba, Radhi Jaidi Simba SC, Kocha Mpya Simba, Kocha Mpya Simba kutangazwa wiki hii, Simba yapata Kocha Mpya.Ni wazi kocha atakayetangazwa sio miongoni mwa wale waliokuwa wakitajwa awali ambao ni mkufunzi wa zamani wa USM Alger Abdelhak Benchikha na Sven Vandenbroeck kwani mahitaji yao hayakwendana na mipango ya Simba SC.

Kocha Radhi Jaidi raia wa Tunisia ndiye anayeonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumrithi Robertinho.

Jaidi amewahi kucheza timu ya Taifa ya Tunisia akiwa ni mlinzi wa kati pia amewahi kuinoa klabu ya Esperance na kuipa taji la Super Cup.

Kocha huyo mwenye leseni ya UEFA Pro, anapenda kutumia mfumo wa 4-3-3, amewahi pia kuwa Kocha Mkuu wa Hartford Athletic inayoshiriki Ligi ya Marekani (USL Championship) huku akiwa pia kocha msaidizi wa timu ya Cercle Brugge ya Ubelgiji kabla ya kutua Esperance ya Tunisia alioachana nao mwaka jana akitoka kuwapa taji la Super Cup kwa kuifunga CS Sfaxien.

Fernando Da Cruz Simba SC Simba pia imefikia makubaliano na Kocha Fernando Da Cruz mwenye UEFA Pro Licence raia wa Ufaransa mwenye umri wa 51, aliyewahi kuinoa klabu ya FAR Rabat ya Morocco.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *