RAIS DK. Samia aipongeza Yanga kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023

Filed in Michezo by on 18/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

RAIS DK. Samia aipongeza Yanga kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023

RAIS DK. Samia aipongeza Yanga kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023

RAIS DK. Samia aipongeza Yanga kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametumia salamu za pongezi kwa Young Africans kwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023.

RAIS DK. Samia aipongeza Yanga kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023“Pongezi za dhati kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Mmeandika historia na kuipa nchi yetu heshima kubwa sana. Nawatakia kila la kheri katika mchezo wenu wa Fainali,” amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.

RAIS DK. Samia aipongeza Yanga kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023Aidha kwenye Nusu Fainali hiyo, Yanga imevuna jumla ya Sh. Milioni 40 katika mfuko wa hamasa wa Rais Samia baada ya kufunga mabao manne kwenye mechi mbili dhidi ya Marumo Gallants.

Yanga imetinga Fainali CAF Confederation Cup 2023 baada ya Ushindi wa mabao 2-0 nyumbani na 2-1 ugenini dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini na sasa itakutana na USM Alger ya Algeria Katika mchezo wa Fainali.

USM Alger wao wametinga Fainali hiyo baada ya kumuondosha ASEC Mimosas ya Ivory Coast kwa ushindi wa mabao 2-0 nyumbani baada ya sare ya 0-0 ugenini Algeria.

Ratiba ya Fainali inaonesha Yanga itaanzia nyumbani katika mchezo wa Fainali ya kwanza May 28 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafiri hadi Algeria kwaajili ya mchezo wa marudiano June 3,2023 kwenye Uwanja wa July 5 Mjini Algiers.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *