Rais Dkt.Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa Leo May 15 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Rais Dkt.Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa Leo May 15 2023

Rais Dkt.Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa Leo May 15 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan Leo May 15, 2023 amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo:
CPA Amos Gabriel Makalla amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Bw. Adam Kighoma Malima amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Bi Fatma Abubakar Mwassa amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Bw. Albert John Chalamila amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa leo May 15, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus uhamisho huu wa Wakuu wa Mikoa unaanza mara moja.
Rais Dkt.Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa Leo May 15 2023,Mabadiliko ya wakuu wa mikoa 2023, Rais Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa May 15 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Mabadiliko ya wakuu wa mikoa 2023, Rais Dkt.Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa Leo May 15 2023, Rais Samia afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa May 15 2023