Nijuze Habari App

RAIS Dkt.Samia afanya uteuzi taasi za MOI – NM AIST – NDC na NMB June 2023

Filed in Habari by on 09/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

RAIS Dkt.Samia afanya uteuzi taasi za MOI – NM AIST – NDC na NMB June 2023

RAIS Dkt.Samia afanya uteuzi taasi za MOI - NM AIST - NDC na NMB June 2023

RAIS Dkt.Samia afanya uteuzi taasi za MOI – NM AIST – NDC na NMB June 2023

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua, Prof. Abel N. Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake.

Kabla ya uteuzi huo, Prof. Makubi amewahi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali kisha baadaye akawa Katibu Mkuu Wizara ya Afya.

Pia, Rais Samia amemteua Omar Issa kuwa Mkuu (Chancellor) wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), Issa ni Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO na anachukua nafasi ya Dkt. Mohahemed Gharib Bilal, Makamu wa Rais mstaafu ambaye amemaliza muda wake.

Pia amemteua Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Dkt. Mzee alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Marten Y. C. Lumbanga aliyemaliza muda wake.

Mwingine aliyeteuliwa ni Dkt. Edwin Mhede kuwa Mwenvekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Ple kwa kipindi cha pili na uteuzi huu umeanza Juni 6, 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *