RAIS Samia Afanya Uteuzi Bodi Ya Wakurugenzi TCRA
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
RAIS Samia Afanya Uteuzi Bodi Ya Wakurugenzi TCRA

RAIS Samia Afanya Uteuzi Bodi Ya Wakurugenzi TCRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA.
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbali Mbali Leo 14 November 2023
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, imeeleza kuwa Rais Samia amemteua Dkt. Jones Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TCRA.
Pia Rais Samia amemteua Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TCRA.
Uteuzi huo umeanza tarehe 12 Novemba, 2023.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
