Nijuze Habari

RAIS Samia afanya uteuzi mpya

Filed in New by on 21/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

Rais Samia Suluhu amemteu Suzan Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais , Ikulu, Jaffar Haniu, iliyotolewa jana January 20,2022 imesema kuwa Suzan anachukua nafasi ya Jenerali Francis Ronald Mbindi ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Kabla ya uteuzi huo, Suzan alikwua Mtumishi katika Ofisi ya Rais Ikulu. Uteuzi huo umeanza rasmi January 17,2020.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.