Nijuze Habari

RAIS Samia afanya uteuzi mpya August 19 2022

Filed in Habari by on 19/08/2022 0 Comments

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi huo unaanza August 15, 2022 huku Prof. Mwandosya akichukua nafasi ya Prof,Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemaliza muda wake.

Nijuze Habari Application

RAIS Samia afanya uteuzi mpya August 19 2022

RAIS Samia afanya uteuzi mpya August 19 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Prof.Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Leo Ijumaa August 19, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bi.Zuhura Yunus.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi huo unaanza August 15, 2022 huku Prof. Mwandosya akichukua nafasi ya Prof,Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemaliza muda wake.

RATIBA Mechi Za Simba SC NBC Premier League 2022/2023 KIKOSI Cha Yanga SC msimu wa 2022/2023 RATIBA kamili Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023 RATIBA Mechi za Yanga SC NBC Premier League 2022/2023 KIKOSI Cha Simba SC msimu wa 2022/2023 SIMBA, Yanga kuanzia hatua ya awali CAF Champions League 2022/2023 YANGA kwa Wasudan, SIMBA kwa Wamalawi, Droo ya CAF Champions League KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023) PAKUA/Download App ya Nijuze Habari Kutazama LIVE/Mubashara Mechi Zote MATOKEO raundi ya Kwanza NBC Premier League 2022/2023 MSIMAMO NBC Premier League 2022/2023 Table Standings WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (Top Scorers NBC Premier League 2022/2023) TETESI za Usajili Simba na Yanga August 2022 RATIBA Raundi ya Pili NBC Premier League 2022/2023 MAGAZETI ya Tanzania Ijumaa August 19,2022
telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.