Nijuze Habari

RAIS Samia afanya Uteuzi mwingine Jeshi la Magereza

Filed in Habari by on 26/08/2022 0 Comments

RAIS Samia afanya Uteuzi mwingine Jeshi la MagerezaRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan Nyamka, Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebu kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza.

Nijuze Habari Application

RAIS Samia afanya Uteuzi mwingine Jeshi la Magereza

RAIS Samia afanya Uteuzi mwingine Jeshi la MagerezaRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan Nyamka, Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebu kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Leo Ijumaa August 26, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bi.Zuhura Yunus.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo,uteuzi wa SACP Mzee Ramadhan Nyamka umeanza August 24, 2022.

Aidha, SACP Ramadhan anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.